Nimerudi kundini....(Tecno)

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,257
Reaction score
22,131
Wakuu,
Habare? Baada ya kuibiwa iPhone 6 yangu (I miss FaceTime n iMessage) na note 4 yangu kuharibika, nikaamua kutafuta any low end device angalau tu nipate access ya net. Katika pita pita nikakutana na tecno spark 2, aisee hii simu iko vizuri. Ukiacha na fact that inatumia Oreo 8.1, kwenye swala la camera aisee hii kitu iko vyema Sana. Ina 13mp rear na 8mp front lakini zote Zina flash. Pia unapatA security ya fingerprint na facial recognition. Kuhusu kutunza chaji ndio yenyewe, hakika Rudi nyumbani KUMENOGA
 
Baada ya kuibiwa Galaxy S5 yangu nimerufikwenye Nokia 105
 
ni nzuri offcoz but display za simu za kichina hazina radha kabisa
 
Sawa afisa masoko wa tecno naona umefanikiwa kufikisha tangazo kwa namna yake
 
Kamera baada ya muda itakuwa ya Hovyo
 
Karibu sana mkuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…