Nimerudi home nimemkuta wife anacheza mziki akiwa utupu

Kwani kuna shida gani kama yupo mwenyewe ndani na amejifungia... yaani kama itokee siku moja watu wachache waonyeshwe kinachoendelea kwenye majumba ya watu, wangebaki hata huyu mzee au huyu mama nae anafanyaga hivi, unamkuta mdingi wanakimbizana ndani kama watoto wadogo, ulitakiwa na wewe uvue alafu unafanya kama unambashia hivi kwa nyuma
 
Kwanza umri wake.
Pili humpi penzi lakutosha unambania tu unawapa mahawara so hizo ni ngenye.
Tena ni ndoo saizi kubwa, Large
 
Kwakwel hata sijui, unajikuta tuu una-admire unavojiona unakatika kwenye kioo, somehow satisfying especially kama unajikubali.
Au you can pretend uko na mtu wako then unafanya vile unamfanyia au kufanya in general then just laughin to yourself saying kumbe ndo ananionaga ivii.. bas tuu yani.
Mhmhh
 
Kwakua akibadilisha nguo huwa anakwambia utoke nje umpishe usimchungulie ndio maana unaona ni jambo la ajabu
 
Bila shaka kaumbika vizuri Huyo, ukute na mapicha mengi tu kajipiga akiwa uchi, usije shangaa pia ukiiona picha yake kule kwenye jukwaa la picha kwenye Uzi wa pisi kali
 
Acha kabisaa, mie hadi nimeweka kioo bafuni kwangu. Nikiwa naoga najiona mwili mzima.
Nisipokiwa makini naweza maliza lisaa lizima bafuni aahahahahaha.
Like wise, ukuta wa mbele chooni kwangu nimeweka likioo likuubwaa.... Pia kwenye gypsum juu nimeweka spika inatoa mziki (ila mtu hawezi kuiona). Yote haya ni kwa sababu nikiwa nakata gogo, naoga au napiga mswaki ndiyo muda ambao huwa napata new ideas au kutafakari changamoto zinazonikabili..... Na huwa hapakosi nice airfresher and other detergents...

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app
 
Wakuu kwema?

Jana jioni nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyana huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.

Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
Ulitakiwa na wewe uvue nguo ucheze nae. Ukileta u conservative kwenye swala la mapenzi utaachwa. Huyo mdada yupo level nyingine kimapenzi wewe umebakia kama level ya chudumuile. Mapenzi ni Sanaa inabidi vitu vipya na inahitaji hard working kitu chemistry. Kama ulikasirika hukumtendea vizuri na atakuacha wewe endelea na fikra za chura
 
Wakuu kwema?

Jana jioni nimetoka kwenye shughuli zangu, kufika home nikakuta wife amejifungia chumbani akiwa anacheza mziki akiwa uchi wa mnyana huku anajiangalia kwenye kioo cha kwenye dressing table.

Ni jambo la kawaida kweli hili wakuu au naishi na chizi?
Huu muda uliopoteza kuleta hii mada humu ungekuwa uko katikati ya mchezo, yaani hapo hapo mechi ilitakiwa ianze referee ni hicho kioo
 
Like wise, ukuta wa mbele chooni kwangu nimeweka likioo likuubwaa.... Pia kwenye gypsum juu nimeweka spika inatoa mziki (ila mtu hawezi kuiona). Yote haya ni kwa sababu nikiwa nakata gogo, naoga au napiga mswaki ndiyo muda ambao huwa napata new ideas au kutafakari changamoto zinazonikabili..... Na huwa hapakosi nice airfresher and other detergents...

Sent from my TECNO L9 Plus using JamiiForums mobile app

Uko vizuri, hiyo inaitwa raha jipe mwenyeweee 👍🏼👍🏼👍🏼
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom