Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,579
- 161,432
kwa wanaopenda urahisi hawawezi kuikimbia tigo kamwe!!
Hata iwe na matatizo gani bado wataendelea kuing'ang'ania!!:bange::bange::bange::bange::bange:
nina simu ya kichina a.k.a Zong Hwa Garden, a.k.a machozi bendi, a.k.a Ledi JD, inabeba line sita, lakini mbili tu ni za voda na eyatel, nne za tigo.kwa wanaopenda urahisi hawawezi kuikimbia tigo kamwe!!
Hata iwe na matatizo gani bado wataendelea kuing'ang'ania!!:bange::bange::bange::bange::bange:
kwa wanaopenda urahisi hawawezi kuikimbia tigo kamwe!!
Hata iwe na matatizo gani bado wataendelea kuing'ang'ania!!:bange::bange::bange::bange::bange:
endelea kula tigo
yasiyokuwa na maana vipi tena bibie?Umeanza mambo yasiyokuwa na maana sasa
dah,nimestukaaaa!!uhhh