Nimerikoroga


Ni sawa na jamaa aloanzisha thread kuwa mchumba wake anatoa harufu kali lakini anaogopa kumwambia!
Inabidi ajiulize yeye mwenyewe kwanini jamaa anafanya hivi?
Binafsi hata uwe mrembo vipi,...kama ni mchafu kwingineko mmmh
 
Hujalikoroga bibie huo ndo ujanja wa kutambua ukweli. Hapa sioni kama unaomba ushauri gani maana ushamjua jamaa sio kabisa.

Piga mbio kama za marathoni

haisadii kitu kukimbia,anaweza kimbia then atakae mpata amfanyie hivo hivo,..
Cha muhimu ni kujiuliza kasoro yake ni nini?

Especially,usafi binafsi au akiwa on game
 
Bi mdogo piga mwendo hakuna mtu hapo. Ila nawashauri wapenz kina dada. Kweli kama umemsumbua mwanaume zaidi ya miezi mitatu chenga nyingi naomba usijiingize kwenye relationship hizo. Jaribu kusoma ishara/alama za nyakati. Kwa nini umemzungusha wakati ulikuwa unamfeel?

Sometimes you dont want to know yourself. Jitambua wadada kuwa kwenye mahusiano/kuolewa kuko ndani ya mikono yako mwenyewe na ulimi wako. Sasa pale unapozungusha mtu kwa muda mrefu ujeu mwenzio anatake note then later on akilinganisha na wengine anakuta wewe ni bure na tayari ameshajiondoa hamu zake anakuacha anaendelea na yule wa dhat wake aliyesema ndiyo on the sport alipoambiwa anakupenda.

For your case, usigeuke nyuma please, moveeeeeeeeeee!
 
Mpendwa!
Nafikiri umeniwahi...na umefanya kazi nzuri sana ya kuweka hizo thread tatu (sikufika huko kimawazo),ila nilikuwa nashibhiana na wewe kwenye "instict",threads nyingi kwenye jukwaa la mapenzi ni hadithi za kutunga "hypothetical"...sijui wapi tunakwenda kama JF,nafurahi kama kuna wengi wanaliona hilo pia.
 
Mie naona huyo kaka hakukupenda kweli ila ni tamaa tu ivo alivoona haja yake imeisha akaanza kuzingua au alivo talajia hakuvikuta, hii inatokea sana mwanzon waweza m2 ila ukimpata unamwona wa kawaida hana jipya.
 

wanaharibu jukwaa
 
Kimbia kama kibaka...yani hata usiangalie nyuma.Inawezekana anakuadhibu kwa kumzingua mwanzo sasa kaona akugeuzie kibao.[/QUOTE. Umenichekesha kweli! Achomoke kama kibaka, I like it.
 
Perhaps anatafuta experience ili akupende kwa dhati!...ni imani yangu kua unakumbuka ulikotoka maana post zako za mahusiano zinacontradict kiasi fulani!
 
Japo sister story yake ya kutunga, nimejifunza kitu toka kwake. Ameniongezea ujuzi wa ki intelijensia. Face book
 
Alikupenda mwanzon ukajiche2a sasa alivyokupata akajiuliza ki2 gani alichokua akikisumbukia?jibu hakuna akapotezea mbaya vp ajakumwaga kijiweni kwa masela?demu mwenyewe kikwapa,domo linatema,k**a ina maji pole mwaya ndo mapenz hy kama ulikua hujui
 

wasichana na wanawake wa leo lazima muelewe unapomzungusha mtu anayekupenda kwa dhati muda mrefu hata siku ukimpa hata hadi na ukoko interest yake huwa inakuwa imeshahama anakujudge kuwa ni msumbufu, au ulimuweka spare baada yakuachwa ukamkubali nae anakuplay kwasababu umejileta kisha ananing'iniza miguu juu ya mawe.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…