Nimeridhishwa na Ving'amuzi vya "EASY TV"

Nimeridhishwa na Ving'amuzi vya "EASY TV"

Piriton

Member
Joined
Feb 22, 2011
Posts
8
Reaction score
2
Mimi nimtumiaji wa ving'amuzi vya easy tv kwa muda mrefu na ni vingamuzi vizuri saaana na channel za local zipo[Tz]zote.

Kinacho niudhi kwa sasa ni hawa wamiliki hawatafuti mawakala wa kuuza vocha zao. Nimehamia kigamboni hakuna mawakala kabisa. Nawashauri uongozi kama wanapita huku wasambaze mawakala kila kona kama walivyofanya star time.

La sivyo tutawakimbia.
 
easy tv yaweza tumika mikoani?
vinakamata hapa DSM tu. Ila ni vingamuzi vizuri sana kwani local zote zipo tena clear na chanel nyingi nyinginezo za habari mf. cnn, bbc,aljazeera, cctv. Channel za dini ipo-Emmanuel ya nigeria[wakiristo] na Peace tv[waislam]
 
mkuu kujiunga na hawa jamaa ni shillingi ngapi i mean gharama ya kingamuzi
 
Unampigia ajenti unampa smart card number na unamtumia vocha ya buku kumi mtandao wowote anaactivate

Yap hata mimi nafanya hivyo .kwanza huwa naona mzunguko wa kuingiza ile kadi. Ninachokifanya kuna ofisi kariakoo nimewapa no yangu wao wamesave jina langu kwa kutumia smart card no yangu. Ninapowatumia pesa kwa njia ya mtandao moja kwa moja wananiwekea.
 
Mimi nimtumiaji wa ving'amuzi vya easy tv kwa muda mrefu na ni vingamuzi vizuri saaana na channel za local zipo[tz]zote. Kinacho niudhi kwa sasa ni hawa wamiliki hawatafuti mawakala wa kuuza vocha zao. Nimehamia kigamboni hakuna mawakala kabisa. Nawashauri uongozi kama wanapita huku wasambaze mawakala kila kona kama walivyofanya star time. La sivyo tutawakimbia.

Chukua no ya makao makuu hii watumie pesa kwa tigopesa then watakuwekea.0658688633.inapatikana wakati wa kazi tu.
 
Ukiondoa DSTV, EASY ndo king'amuzi kizuri kuliko vyote.
 
Yap hata mimi nafanya hivyo .kwanza huwa naona mzunguko wa kuingiza ile kadi. Ninachokifanya kuna ofisi kariakoo nimewapa no yangu wao wamesave jina langu kwa kutumia smart card no yangu. Ninapowatumia pesa kwa njia ya mtandao moja kwa moja wananiwekea.

Mkuu, kujiunga nao inagharimu bei gani, niko na hawa star times naona ni pasua kichwa.
 
Mkuu, kujiunga nao inagharimu bei gani, niko na hawa star times naona ni pasua kichwa.

Laki na kumi kwa ajili ya receiver,waya,antena, malipo ya mwezi mmoja na ufundi. Gharama yako ni kumlipia nauli fundi hadi unakoishi
 
Laki na kumi kwa ajili ya receiver,waya,antena, malipo ya mwezi mmoja na ufundi. Gharama yako ni kumlipia nauli fundi hadi unakoishi

Asante comrade, vipi kuhusu monthly subscription.
 
vinakamata hapa dsm tu. Ila ni vingamuzi vizuri sana kwani local zote zipo tena clear na chanel nyingi nyinginezo za habari mf. Cnn, bbc,aljazeera, cctv. Channel za dini ipo-emmanuel ya nigeria[wakiristo] na peace tv[waislam]

kunasehemu havikamati hata ndani ya dar es salaam
 
Hivi agents wake wanapatikana wapi kwa hapa dsm mana me nimeshindwa kununua credit mwezi wa tano sasa
 
Back
Top Bottom