Nimerejea tena

MIHAYO1710

Member
Joined
Apr 7, 2018
Posts
22
Reaction score
50
Wakuu, heshima yenu. Baada ya kukaa kimya kwa muda wa miaka 9, Leo natangaza kurejea tena JF.
 
Jukwaa lipo tu.
Hapa panaitwa "Mtakuja"
Jf ni kama maji, usipoyanywa utayaoga.
Karibu tena kiongozi.
 
Baada ya kujifanya mwanamke nakugundulika lakini baada ya jaribio lako la kutangaza ushoga pia kufeli hatimae umerudi kivingine.
Karibu
 
Karibu sana JF mjukuu wetu hapa kwa GT ufaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…