Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,035
Hahaha itakuwa balaa jamaa kainyea ndoaKwani si umwambie ukweli tu? Au unamuogopa
Kidole umepoteza pia?Habari za humu wanajamii forum tangu saa 10 jioni nikiwa njiani kuelekea nyumbani kutoka kazini baada ya kumaliza kazi za leo, nimejikuta ghafla sina pete ya ndoa na katika kumbukumbu zangu nikakumbuka kuwa niliivua nikiwa ofcn.....nikageuza gari kurudi kazini kwa ajili ya kwenda kuichukua.
Nimefika ofcn nimetafuta pete mpaka muda huu saa 2 usiku sijafanikiwa kuipata kwa bahati mbaya mke wangu bado cjamjulisha. Kwa bahati mbaya maduka muda huu karikoo yamefungwa
Naombeni ushauri kwani nahisi nikifika nyumbani mambo yanaweza yasiwe sawa kutokana na
1. Nimezoea kurudi mapema nyumbani kufikia 12 jioni huwa tayari nimefika nyumbani na leo hii kuchelewa halafu sina pete
2. Siku za hivi karibu mke wangu amekuwa akihisi natoka nje ya ndoa hivyo tumekuwa na kamvutano ka chinichini
3. Narudi bila pete ya ndoa
Acha ukauzu babaangu, yaan aje aniambie pete imepotea kirahisi rahisi hivyo yaan cta muelewa kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaUnapigwa na mkeo au?!..kwan pete ikipotea kuna tatizo gani...si unampa taarifa tu,maana hauhitaji kumwrleza story ndefu pete imepotea basi hamna la zaidi
Mungu anakuonaNahisi ipo kwenye Wallet....ukikosa tazama mfuko wa suruali wa nyuma.....inaonekana mgeni kwenye ndoa.[emoji53][emoji53][emoji53]
Mh!kwanza mke alishahisi jamaa anachepuka,pili pete imepotea kirahisi rahisi tuu halaf wewe unadhan ni kitu rahisiUnapigwa na mkeo au?!..kwan pete ikipotea kuna tatizo gani...si unampa taarifa tu,maana hauhitaji kumwrleza story ndefu pete imepotea basi hamna la zaidi