Mzalendo39
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 881
- 1,035
Habari za humu wanajamiiForums,
Tangu saa 10 jioni nikiwa njiani kuelekea nyumbani kutoka kazini baada ya kumaliza kazi za leo, nimejikuta ghafla sina pete ya ndoa na katika kumbukumbu zangu nikakumbuka kuwa niliivua nikiwa ofisini nikageuza gari kurudi kazini kwa ajili ya kwenda kuichukua.
Nimefika ofisini nimetafuta pete mpaka muda huu saa 2 usiku sijafanikiwa kuipata kwa bahati mbaya mke wangu bado sijamjulisha. Kwa bahati mbaya maduka muda huu Karikoo yamefungwa.
Naombeni ushauri kwani nahisi nikifika nyumbani mambo yanaweza yasiwe sawa kutokana na;
1. Nimezoea kurudi mapema nyumbani kufikia 12 jioni huwa tayari nimefika nyumbani na leo hii kuchelewa halafu sina pete.
2. Siku za hivi karibu mke wangu amekuwa akihisi natoka nje ya ndoa hivyo tumekuwa na kamvutano ka chinichini.
3. Narudi bila pete ya ndoa