Nimepoteza Muda tu Form 5

Hivi degree na bachelor ni tofauti?

Maana naona wenye degree ni attendants halafu eti wenye bachelor ni decision makers
 
Naona baada ya kuzungusha a level unakuja kutoa povu humu all in all kama unajua ulifaulu kwa bahati f4 better ukaenda diploma
 
SHULE YA SEKONDARI MAURICE inawatangazia wazazi na walezi wote kwamba tunapokea wanafunzi kidato cha kwanza mwaka 2019, nafasi za kuamia kidato cha kwanza na cha pili pia tuna kituo cha mitihani kwa watahiniwa wa kujitegemea na Q.T. Vile vile pia tunapokea wanafunzi wa kidato cha tano kwa michepuo ya ECA, HGE, HGK, HKL na HGL. ADA ni nafuu sana. Shule ni ya kutwa na bweni kwa wavulana na wasichana. Shule ipo Dar es salaam wilaya ya temeke, eneo LA mbande kisewe. Simu 0785907371. Wote munakaribishwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sheh! Kama MTU kafeli Advance! Hyo hawezi kwenda diploma! Inabidi adrOp tena kuanza Certificate then DIPLOMA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…