Franklin1902
JF-Expert Member
- Aug 1, 2018
- 2,241
- 4,876
We ulifaulu umeshindwa kujibu hoja za aliyefeli, mwenzio ameleta hoja zake cha ajabu wewe unaleta mipasho
Sent using Jamii Forums mobile app
huu ndo ubaya wa elimu ya bongo kuwaanda watu kuwa vibarua na sio watu wafanyao yao ili wafanikiwe na hatimaye waweze kuajili wengineJamani nashauri kama kuna mtu yeyote ana ndugu yake amemaliza form 4 mwaka jana...asijisumbue kumtafutia shule eti kusoma advance(form 5 na 6)...hiyo level ni ya matesobna kupoteza muda tu...
Cheti cha form 6 hakina kazi popote zaidi ya kuombea chuo tu degree...yaani hiyo ni hata ukifaulu...ukikosa mkopo basi na elimu yako mpaka form 6 huwezi enda kampuni yoyote ukaomba kazi ukapewa...
Lakini aliyemaliza form akaunga college yoyote inayotambulika kwa ubora akajiunga akasoma zake miaka 3(ambayo imeongezeka just miez kadhaa tu ya ule muda unaopoteza form 5 na 6)...akitoka anakuwa na cheti ambacho kina umuhimu popote...kwanza anapata ujuzi...pili anaajiriwa popote na anasikilizwa ukilinganishwa na aliyesoma form 6...tatu kupitia cheti hicho hicho cha DIPLOMA anaombea nafasi za DEGREE bila shida yoyote kama aliyemaliza form 6...
Yaani alisoma mpaka advance...akizingua chuoni...basi ndo hana namna...
Ila aliyesoma diploma...akizingua chuoni degree basi anaweza kutumia cheti chake cha diploma kusurvive mjini...
KWANZA UKUBALI UKATAE...MWENYE ELIMU YA DIPLOMA NDIYE ANAYEPATA AJIRA KWA WINGI NA HARAKA ZAIDI KULIKO MWENYE DEGREE...KWA SABABU...
1. Wenye degree maofisini ni Ma Attendants... Wenyewe ndio wafanyaji kazi...ukilinganisha na MABACHELOR HOLDERS ambao ni MaDecision Makers...
Sasa huwezi kuwa na madecision makers wengi na watendaji ni wachache...
2. Maboss wanawapenda madiploma hawasumbui mishahara na kujiona classic alafu ni wachapakazi...alafu ndio wengi...ila mabachelor holders ni WASUMBUFU..
NIMEJIONEA...
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenikumbusha jamaa mmoja alisoma na washkaji zangu tunasoma nao chuo, mshkaji alipiga div 1 akaenda diploma DIT sasa hivi anapiga kazi TBL na hata mwaka hajamaliza kwenye ajira ila kashafungua biashara zake hapa town. washakaji zake niko nao 3rd year tunapiga ugali na dagaa mchele wa jero. Kupanga ni kuchagua.Huna point mkuu,unajidhalilisha Bure.....ikiwa wewe,familia yako,jamii yako na nchi yako inaongozwa na mtu unayedai amepata elimu ya kubangaiza....hahahaha
Naiheshimu DIPLOMA ingawa Mimi mwenyewe nimepitia advance
Hivi unawezaje kulinganisha advance na dip kama za DIT,MIST,KCMC n.k
Mimi nilimaliza olevel 2007 na washkaji zangu ambapo Mimi peke yangu ndio nilipangiwa advance ila wenzangu wanne walipangwa diploma DIT,MIST na RWEGALURILA dah wale jamaa walinipiga gape Kali sana maana Mimi nipo chuo mwaka wa pili jamaa wanadrive magari barabarani daaaahhhh
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisaa...Binafsi naungana na mleta mada, elimu ya advance ni kupoteza muda tu. Kitu cha maana nilichokipata labda ni kusafiri mkoa ambao huenda isingekuwa elimu ya advance nisingeenda na kukutana watu wapya.
Yaani hii kitu inaniumaga sana...Umenikumbusha jamaa mmoja alisoma na washkaji zangu tunasoma nao chuo, mshkaji alipiga div 1 akaenda diploma DIT sasa hivi anapiga kazi TBL na hata mwaka hajamaliza kwenye ajira ila kashafungua biashara zake hapa town. washakaji zake niko nao 3rd year tunapiga ugali na dagaa mchele wa jero. Kupanga ni kuchagua.
Elimu ya msingi+o level ilishindwa kuupa ubongo wako uwezo wa kuchanganua faida na hasara za kusoma A LEVEL ndipo ufanye maamuzi, matokeo yake ndio haya majuto unayoyajutia leo. Adui wako ni akili yako mwenyewe
Sijui kitu gani kilikufanya uchelewe kujiunga na chuo! Wenzio mliomaliza wote o-level chuo walimaliza 2013 wew bado uko mwaka wa piliHuna point mkuu,unajidhalilisha Bure.....ikiwa wewe,familia yako,jamii yako na nchi yako inaongozwa na mtu unayedai amepata elimu ya kubangaiza....hahahaha
Naiheshimu DIPLOMA ingawa Mimi mwenyewe nimepitia advance
Hivi unawezaje kulinganisha advance na dip kama za DIT,MIST,KCMC n.k
Mimi nilimaliza olevel 2007 na washkaji zangu ambapo Mimi peke yangu ndio nilipangiwa advance ila wenzangu wanne walipangwa diploma DIT,MIST na RWEGALURILA dah wale jamaa walinipiga gape Kali sana maana Mimi nipo chuo mwaka wa pili jamaa wanadrive magari barabarani daaaahhhh
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwishoni ndio umemalizia vizuriMwisho wa siku msibani hatuombani vyeti, tunaombana rambirambi.
Kwenye nyumba za ibada, tunaombana sadaka, zaka, fungu la kumi. Sio vyeti.
Kwenye vyombo vya usafiri, tunaombana nauli. Sio cheti
National stadium tunaombana kiingilio pale. Sio cheti
TRA tunalipa kodi. Hupeleki cheti
Tanesco unalipa bill, sio cheti.
Mafanikio hayana njia moja. Pita yoyote, chamsingi usiwe mzigo kwa familia na taifa kwa ujumla.
Jamani nashauri kama kuna mtu yeyote ana ndugu yake amemaliza form 4 mwaka jana...asijisumbue kumtafutia shule eti kusoma advance(form 5 na 6)...hiyo level ni ya matesobna kupoteza muda tu...
Cheti cha form 6 hakina kazi popote zaidi ya kuombea chuo tu degree...yaani hiyo ni hata ukifaulu...ukikosa mkopo basi na elimu yako mpaka form 6 huwezi enda kampuni yoyote ukaomba kazi ukapewa...
Lakini aliyemaliza form akaunga college yoyote inayotambulika kwa ubora akajiunga akasoma zake miaka 3(ambayo imeongezeka just miez kadhaa tu ya ule muda unaopoteza form 5 na 6)...akitoka anakuwa na cheti ambacho kina umuhimu popote...kwanza anapata ujuzi...pili anaajiriwa popote na anasikilizwa ukilinganishwa na aliyesoma form 6...tatu kupitia cheti hicho hicho cha DIPLOMA anaombea nafasi za DEGREE bila shida yoyote kama aliyemaliza form 6...
Yaani alisoma mpaka advance...akizingua chuoni...basi ndo hana namna...
Ila aliyesoma diploma...akizingua chuoni degree basi anaweza kutumia cheti chake cha diploma kusurvive mjini...
KWANZA UKUBALI UKATAE...MWENYE ELIMU YA DIPLOMA NDIYE ANAYEPATA AJIRA KWA WINGI NA HARAKA ZAIDI KULIKO MWENYE DEGREE...KWA SABABU...
1. Wenye degree maofisini ni Ma Attendants... Wenyewe ndio wafanyaji kazi...ukilinganisha na MABACHELOR HOLDERS ambao ni MaDecision Makers...
Sasa huwezi kuwa na madecision makers wengi na watendaji ni wachache...
2. Maboss wanawapenda madiploma hawasumbui mishahara na kujiona classic alafu ni wachapakazi...alafu ndio wengi...ila mabachelor holders ni WASUMBUFU..
NIMEJIONEA...
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ufala dogo... what i stand on for ndio mashudu gani.. afu unatamba umepiga kijiti mwanzo mwisho kenge maji ww...Endelea kukariri...nimetoka olevel special school na div 1 na advance special school kwa div 1 pia...kwahyo i know what i stand on for...
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah, hata pierre anapiga gongo kwanza halafu mwishoni anapiga heinkein kwa ajili ya instagram. Everybody say yeahhhhhhh