AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,649
- 4,756
- Thread starter
-
- #21
Angejua kuwa mim nimemzidi kwa kila ktu..Wewe ndo unamatatizo ya kisaikolojia, na unadhani kwa vile ulifaulu kidato cha nne unahaki ya "kujudge" wengi kumbe ndo jinga kabisa, jifunze kuheshimu mawazo ya watu wengine
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekosea namaanisha madiploma...Hapa kuna walakin, bachelor holder ni yupi na mwenye degree ni yupi?
Mkuu hapa ndio unapotea kabisa-Cheti cha Form 6 hata ikiwa Division 1:3 hakikupi kazi, kwa hiyo siyo cha kufananisha na diploma, ufaulu mzuri unakuwezesha kwenda Chuo kuchukua degree. Cheti cha Diploma kina akisi ujuzi wa kuajiriwa au kujiajiri, na kwa wachache wanaweza pia kuomba kwenda kusoma degree lakini kwa Tanzania hii sio njia kuu ya kwenda chuo, na kwa degree kadha aliepitia form 6 anakuwa na matayarisho bora zaidi. Hivyo inabidi anaemaliza form 4 ajitahmini na kuangalia ipi ni njia sahihi kwake. Huwezi ukasema ki ujumla kuwa kwenda F6 ni kupoteza wakati. Lakini hapo hapo hii haimanishi kila mtu ajilazimishe kwenda Advance.hoja zake mbona zimenyooka? ushawai kuona matangazo mangapi ya ajira kigezo wanahitaji form 6 holder?
na pia umewahi kuona matangazo mangapi ya ajira ambapo kigezo wanahitaji diploma holder ?
Mbona wate wa Advance, Cert/Diploma wanadisco tu. Na hata huko degree watu wanadisco tu. Unapo disco unajipanga upya. Unataka kuniambia watu wasichague advance kwa sababu chuo kuna kudisco? Na anaedisco cert/diploma anapokelewa na nani?Waambie na uform 6 wako kwa mfano ukadisco chuo...nan atakupokea...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hujatueleza ulicho experience we binafsi-yaani kilichokutokea hadi useme Adv. ni kupoteza muda. Uliyoweka ni mambo general, hapo kama nakupata vizuri wewe uko chuoni (yaani wachukua degree, kama nimekosea nisahihishe), sasa muda wako umeupoteza vipi?WANGEJUA MIMI NIPO CHUONI KWA DIV 1 YA ADVANCE...NAONGEA NILICHO EXPERIENCE...
Sent using Jamii Forums mobile app
Sioni sababu ya kuponda advance, lakini pia hakuna sababu ya kuponda cert/diploma. Tuna mazingira tofauti na tumeumbwa tofauti la msingi kila mtu apate knowledge skills za kumuwezesha kupata ajira (kuajiriwa kwa wengi au kujiajiri). Kila nchi inataka kupata the right mix ya technical people na wenye degree. Hivyo kila mtuaamue njia ipi ni bora. Kwenye kazi nyingi utakuta mnategemeana kuzalisha sasa cha ajabu hapa mnatukana kupitiliza badala ya kuelekezana.Watu mnaopondea form six ni kwamba iliwashinda tu and nothing else. Elimu ya kubangaiza sio nzuri kabisa. Niliona jinsi baadhi ya equivalents walivyopata shida shuleni.
Wengi mnaofikiria diploma mna mentality za kufeli tu. Huwezi kuenda diploma eti ili kama nikidisco chuo bado nipate kazi....pathetic
Kama Huna ubongo wa advance nenda hukohuko na kwa taarifa yenu nyie mnaoungaunga kufika chuo Ndalichako anawalia timing tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna point mkuu,unajidhalilisha Bure.....ikiwa wewe,familia yako,jamii yako na nchi yako inaongozwa na mtu unayedai amepata elimu ya kubangaiza....hahahahaWatu mnaopondea form six ni kwamba iliwashinda tu and nothing else. Elimu ya kubangaiza sio nzuri kabisa. Niliona jinsi baadhi ya equivalents walivyopata shida shuleni.
Wengi mnaofikiria diploma mna mentality za kufeli tu. Huwezi kuenda diploma eti ili kama nikidisco chuo bado nipate kazi....pathetic
Kama Huna ubongo wa advance nenda hukohuko na kwa taarifa yenu nyie mnaoungaunga kufika chuo Ndalichako anawalia timing tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
HICHO NDICHO NACHOONGELEA MIMI...WANAOLIPONDA HILI...WANA AKILI MGANDO...ETI ALIYEPITIA DIPLOMA AMESHINDWA KUPATA CHANCE YA ADVANCE...Huna point mkuu,unajidhalilisha Bure.....ikiwa wewe,familia yako,jamii yako na nchi yako inaongozwa na mtu unayedai amepata elimu ya kubangaiza....hahahaha
Naiheshimu DIPLOMA ingawa Mimi mwenyewe nimepitia advance
Hivi unawezaje kulinganisha advance na dip kama za DIT,MIST,KCMC n.k
Mimi nilimaliza olevel 2007 na washkaji zangu ambapo Mimi peke yangu ndio nilipangiwa advance ila wenzangu wanne walipangwa diploma DIT,MIST na RWEGALURILA dah wale jamaa walinipiga gape Kali sana maana Mimi nipo chuo mwaka wa pili jamaa wanadrive magari barabarani daaaahhhh
Sent using Jamii Forums mobile app
Shida yako kumbe ni magari!!Huna point mkuu,unajidhalilisha Bure.....ikiwa wewe,familia yako,jamii yako na nchi yako inaongozwa na mtu unayedai amepata elimu ya kubangaiza....hahahaha
Naiheshimu DIPLOMA ingawa Mimi mwenyewe nimepitia advance
Hivi unawezaje kulinganisha advance na dip kama za DIT,MIST,KCMC n.k
Mimi nilimaliza olevel 2007 na washkaji zangu ambapo Mimi peke yangu ndio nilipangiwa advance ila wenzangu wanne walipangwa diploma DIT,MIST na RWEGALURILA dah wale jamaa walinipiga gape Kali sana maana Mimi nipo chuo mwaka wa pili jamaa wanadrive magari barabarani daaaahhhh
Sent using Jamii Forums mobile app
We ulifaulu umeshindwa kujibu hoja za aliyefeli, mwenzio ameleta hoja zake cha ajabu wewe unaleta mipasho
Diploma na form six ni kitumbua na andazi hivyo usijaribu kuvilinganishahoja zake mbona zimenyooka? ushawai kuona matangazo mangapi ya ajira kigezo wanahitaji form 6 holder?
na pia umewahi kuona matangazo mangapi ya ajira ambapo kigezo wanahitaji diploma holder ?
Mkuu hapa ndio unapotea kabisa-Cheti cha Form 6 hata ikiwa Division 1:3 hakikupi kazi, kwa hiyo siyo cha kufananisha na diploma, ufaulu mzuri unakuwezesha kwenda Chuo kuchukua degree. Cheti cha Diploma kina akisi ujuzi wa kuajiriwa au kujiajiri, na kwa wachache wanaweza pia kuomba kwenda kusoma degree lakini kwa Tanzania hii sio njia kuu ya kwenda chuo, na kwa degree kadha aliepitia form 6 anakuwa na matayarisho bora zaidi. Hivyo inabidi anaemaliza form 4 ajitahmini na kuangalia ipi ni njia sahihi kwake. Huwezi ukasema ki ujumla kuwa kwenda F6 ni kupoteza wakati. Lakini hapo hapo hii haimanishi kila mtu ajilazimishe kwenda Advance.