AbuuMaryam
JF-Expert Member
- Dec 26, 2015
- 2,649
- 4,756
Mkuu hiyo ndiyo kazi ya cheti cha form 6, sasa sioni tatizo liko wapi. Hii ndiyo njia kuu kwa wanaolenga kusoma degree Tanzania ndio maana ukichambua vitabu vya TCU Admission Guidelines utaona zaidi ya 90% ya nafasi za vyuo vikuu hujazwa na watu wenye advance.Cheti cha form 6 hakina kazi popote zaidi ya kuombea chuo tu degree...yaani hiyo ni hata ukifaulu...ukikosa mkopo basi na elimu yako mpaka form 6 huwezi enda kampuni yoyote ukaomba kazi ukapewa...
KWANZA UKUBALI UKATAE...MWENYE ELIMU YA DIPLOMA NDIYE ANAYEPATA AJIRA KWA WINGI NA HARAKA ZAIDI KULIKO MWENYE DEGREE...KWA SABABU...
1. Wenye degree maofisini ni Ma Attendants... Wenyewe ndio wafanyaji kazi...ukilinganisha na MABACHELOR HOLDERS ambao ni MaDecision Makers...
Sasa huwezi kuwa na madecision makers wengi na watendaji ni wachache...
2. Maboss wanawapenda madiploma hawasumbui mishahara na kujiona classic alafu ni wachapakazi...alafu ndio wengi...ila mabachelor holders ni WASUMBUFU..
NIMEJIONEA...
Jamaa Kajenga Hoja Zimesimama, Lakini Watu Wanamtusi Bila Hoja,,, Jengeni Hoja
Nina imani nimejenga hoja kwenye kutoa msimamo wangu na hakuna tusi ndani ya kile nilicho kiandika. Lakini ni kweli ingawapo sikubaliani na hoja kuu anayojenga mleta uzi hakuna sababu ya kumtusi yeye binafsi badala ya kujadili hoja zake.Jamaa Kajenga Hoja Zimesimama, Lakini Watu Wanamtusi Bila Hoja,,, Jengeni Hoja
Mkuu nawe unatukana kama hao wengine.Alichosema mtoa mada kina mantiki kubwa sana japo kuna manunda yamekuja speed kumtusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtoa mada uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana kuliko piriton!!
Watu mliofeli kidato cha NNE mnashida sana kisaikolojia....wengi wenu ni vichaa kabisa ila hamjathibitishwa tu na daktari.
Wenye elimu ya kuungaunga wana inferiority complex
Sent using Jamii Forums mobile app
True mzeeeMtoa mada uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana kuliko piriton!!
Watu mliofeli kidato cha NNE mnashida sana kisaikolojia....wengi wenu ni vichaa kabisa ila hamjathibitishwa tu na daktari.
Wenye elimu ya kuungaunga wana inferiority complex
Sent using Jamii Forums mobile app
Piga shule bwana mdogo! Utaaibika mjini hapa na elimu yako ya kubangaiza!hoja zake mbona zimenyooka? ushawai kuona matangazo mangapi ya ajira kigezo wanahitaji form 6 holder?
na pia umewahi kuona matangazo mangapi ya ajira ambapo kigezo wanahitaji diploma holder ?
Wewe ndo unamatatizo ya kisaikolojia, na unadhani kwa vile ulifaulu kidato cha nne unahaki ya "kujudge" wengi kumbe ndo jinga kabisa, jifunze kuheshimu mawazo ya watu wengineMtoa mada uwezo wako wa kufikiri ni mdogo sana kuliko piriton!!
Watu mliofeli kidato cha NNE mnashida sana kisaikolojia....wengi wenu ni vichaa kabisa ila hamjathibitishwa tu na daktari.
Wenye elimu ya kuungaunga wana inferiority complex
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapa kuna walakin, bachelor holder ni yupi na mwenye degree ni yupi?1. Wenye degree maofisini ni Ma Attendants... Wenyewe ndio wafanyaji kazi...ukilinganisha na MABACHELOR HOLDERS ambao ni MaDecision Makers...
Sasa huwezi kuwa na madecision makers wengi na watendaji ni wachache...
Jamii Forums mobile app
WANGEJUA MIMI NIPO CHUONI KWA DIV 1 YA ADVANCE...NAONGEA NILICHO EXPERIENCE...Jamaa Kajenga Hoja Zimesimama, Lakini Watu Wanamtusi Bila Hoja,,, Jengeni Hoja
Zinaitwa akili za kukariri...Alichosema mtoa mada kina mantiki kubwa sana japo kuna manunda yamekuja speed kumtusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Endelea kukariri...nimetoka olevel special school na div 1 na advance special school kwa div 1 pia...kwahyo i know what i stand on for...
Waambie na uform 6 wako kwa mfano ukadisco chuo...nan atakupokea...hoja zake mbona zimenyooka? ushawai kuona matangazo mangapi ya ajira kigezo wanahitaji form 6 holder?
na pia umewahi kuona matangazo mangapi ya ajira ambapo kigezo wanahitaji diploma holder ?
Hahahah au sio wew mwenye elim ya jumla jumla..Piga shule bwana mdogo! Utaaibika mjini hapa na elimu yako ya kubangaiza!
Sent using Jamii Forums mobile app