Nimepoteza msisimko wa mapenzi

Hapo ni suala la mindset tu, maumivu ya kutendwa yakiisha utafika nyegezi kama kawaida
 
Tafuta mtu mmoja awe wa kwako peke yako tatizo lako litaisha,hiyo hali ni kutokana na umri uliopo pamoja na msongo wa mawazo wa kutokuwa na mtu wa kudumu/anayeeleweka
 
Tafuta mtu mmoja awe wa kwako peke yako tatizo lako litaisha,hiyo hali ni kutokana na umri uliopo pamoja na msongo wa mawazo wa kutokuwa na mtu wa kudumu/anayeeleweka
Ni kweli mkuu ntazingatia hilo
 


Wacha wewe, hujaniona mimi live...ukiniona tu mwenyewe utashikwa na nyege.
 
Kama unatumia njia yoyote ya uzazi wa mpango,hizi za kisasa,acha..zinapunguza hisia na kusababisha ukavu kwny uke.

Kula tende ,karanga mbichi,asali ma mlenda kwa sana
Mkuu ctumii uzazi wa mpango wowote ule duniani ntazingatia kula ivo vyakula
 
Hahahah mkuu umenifurahisha sio kwamba nimetumika noo nikwamba sina hisia kabsa ....na mtu yeyote ata ukinigusa si feel chochote nakuona wakawaida tu....ngoja nikomae kula bamia labda zitanifanya ninyegeke hahah
jaribu kujichoma na moto au sindano,halafu uone kama utapata hisia kitu kinakuingia basi ujue huna tatizo lolote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…