Asante mkuu ntaufanyia kazi ushauri wako....Pole sana
Hiyo inatokea Mara nyingi sana kwa watu walio wahi kuumizwa na wapenzi wao waliopita
Hujikuta moyo umepata ganzi,kiasi kwamba hata atokee mwanaume akikutamkia nakupenda unaona anakupotezea muda tu coz unaona yaleyale tu,hiyo hali umeijenga na kila siku unausemesha moyo wako usikubali,haiwezekani uumie wewe tu,mapenzi basi,hata ukimkubali mtu hautompenda kutoka moyoni,ilimradi tu upo naye nawe uonekane una mpenzi,ila hisia zako hazipo tayari
Ukitaka hali hiyo ikuache sema na moyo wako ufanye mabadiliko,uaminishe kwamba wanaume wote si sawa,tatizo hilo ni la kisaikolojia
Mwisho nakushauri onana na mshauri wa saikolojia utapona.
AfadhaliSiteseki mkuu
Yes mkuu tena ninekutarget wewe mwenyew kama customer wangu ...karibu sana
Hahaha poa nakusubirHahahah nakuja mkuu
Tangu ni fanikiwe Ku move on jaman najiona nimebadilika sana sina mzuka wa mapenzi kabsaaa yaan Niko wa baridi sana kwanzia moyoni sina feelings na mtu yeyote ..
Ata nkikutana na mtu wangu sitaki ata anisogelee nakeleka sitaki ata romance ata sex siinjoy wala siiwazi tena...
Afu Niko mkavu jaman ivi nifanyeje feelings ziludi maana nmetoka nje ya mstari kabsaa ata sex mpka tutumie vilainishi ndo tufanikishe zoezi. ..
Msaada wenu jaman nimepoteza nyege zangu..
Hahaha hii ipo tu mkuu... Hope tutawaarikaga tu wanaJF mukuje mahuhudieOooh hongereni mkuu fanyeni kweli jaman....
Wala usijali,iyo itakuaga mubashara na kumpongeza Bwana Mello kwa kuweka JFLive mkuu tuufinye....