Nimepoteza msisimko wa mapenzi

Mkuu,madeni na yenyewe pia yanachangia m2 kutokuwa na msisimko...clear madeni yote the you will be fine!
 
Pole sana
Hiyo inatokea Mara nyingi sana kwa watu walio wahi kuumizwa na wapenzi wao waliopita

Hujikuta moyo umepata ganzi,kiasi kwamba hata atokee mwanaume akikutamkia nakupenda unaona anakupotezea muda tu coz unaona yaleyale tu,hiyo hali umeijenga na kila siku unausemesha moyo wako usikubali,haiwezekani uumie wewe tu,mapenzi basi,hata ukimkubali mtu hautompenda kutoka moyoni,ilimradi tu upo naye nawe uonekane una mpenzi,ila hisia zako hazipo tayari


Ukitaka hali hiyo ikuache sema na moyo wako ufanye mabadiliko,uaminishe kwamba wanaume wote si sawa,tatizo hilo ni la kisaikolojia
Mwisho nakushauri onana na mshauri wa saikolojia utapona.
 
Hebu wajumbe naomba mnitume nikathibitishe kama kweli mwanachama mwenzetu hana nyege!
 
Umenene vyema

The power of subconscious mind
 
Mkuu apo kwenye ulaji nakula sana na nimenenepa sio sana ila nawaza kula kula mda wrote pia kupumzika yes napumzika vzuri tu...yani haipiti dk 5 nawaza Nile nini....naona mapenzi yamehamia kwenye kula mkuu
UKO TOO STRESSED!
na HUJAMOVE ON!
 
Baby , umeniwakilisha vzuri !!
 
Waone basata mkuu,watakurudishia nyegezi zako
 
Asante mkuu ntajitahidi kwakweli....
 
Hujui tu lakni ni ndo yenyewe.
Kuna baadhi ya watu wakiwa kwenye matatizo wanakula mno kupita kawaida, anajifariji kwenye kula
Doh okay ntajitahdi
 
Si ungemulliza mama yako au aunt yako, kwa sms au voice call, au unatafuta soko hapa? nauliza tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…