Nimepoteza msisimko wa mapenzi

Mkuu umenena vyema ntapunguza kula kula aiseee labda ndo kunako nilostisha uko
 
Sana mkuu dah siitaki kabsa nataka nyege zangu ziludi uwiii
Utarudi kama awali subiri.Me niliachana na girlfriend/mke Kwa maana tulikuwa tumefukia hatua kubwa sn but nilimkuta na mwanaume,aisee sikuwahi waza hata kutamani papuchi Kwa muda mrefu sn.Sikushtuka kuhisia kabisa lakini baada ya muda nilikuja rudi hali ya zamani na kuwa na mshawasha.Utarudi
 
Yaan natamani zile shot za mwilini ziludi mtu akikugusa tu ushaloa dooh ngoja nijipe mda hali iludi kama mwanzo
 
Mkuu apo kwenye ulaji nakula sana na nimenenepa sio sana ila nawaza kula kula mda wrote pia kupumzika yes napumzika vzuri tu...yani haipiti dk 5 nawaza Nile nini....naona mapenzi yamehamia kwenye kula mkuu
Una stress zinakufanya ule hivyo hovyo. Utanenepa ujichukie zaidi
 
Unacho experience ni emotional numbness .Ni suala la muda. Nilipitia huko nikawa cold peace of shit.. yaan sina huruma kabisa hata akitokea mwanamke akanipenda.
Nikagundua siko sawa.. then nikajifunza kuallow feelings.. unacho experience ni kutokana umefunza ubongo wako kuzuia feelings zozote ambazo zina ku affect.

Matokeo yake huwezi feel chochote. Now anza kujifunza ku feel upya. Hata hisia za huzuni zikija usijizuie feel it. Kidogo kidogo utarudi kwenye hali yako.
 

Hebu jaribu kuwavizia bata wakati wanangonoka hisia zitarudi fasta kisha lete mrejesho.
 
Kwasasa usihangaike na mapenz tena. Mpaka mwili utakapo ji restore. Jipe atleast miezi sita
Hahahah mkuu umenifurahisha sio kwamba nimetumika noo nikwamba sina hisia kabsa ....na mtu yeyote ata ukinigusa si feel chochote nakuona wakawaida tu....ngoja nikomae kula bamia labda zitanifanya ninyegeke hahah
 
Punguza stress, halafu fanya mazoezi, usijiachilize sana, kula kwa kiasi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…