Ni aina gani ya gari mkuu ambayo hicho kibati kinaweza kupotea fundi bodi akipiga rangi nikipata jibu la gari ntaweza kutoa ushauri pia.
Hizo gari zipo kwenye makundi ya kuchezewa kibati kutokulipa kodi stahidi hicho kitakua cha kugongwa ndio maana kimeweza kutoka ukienda kwa mkaguzi wa magari kwa mchakato wa kutoa taarifa gari kama ina changamoto na TRA unaweza kuliacha na kurudi kwa mguu anza kwenda na namba zake ukaangalie kama lipo sawa TRA au baada ya kufanya hivyo peleka kwa mkaguzi wa magari atalitolea taarifa ila itatumika bila kibati ila wao taarifa wanakua nazo..Toyota IST
Ukipigwa makofi vizuri utatueleza vzuri hicho kibati kimeenda wapi, mambo ya gari za kubatiza tunayajua sana michezo ya tunduma namanga na mipakaniHabarari wakuu,
Leo nikiwa nakagua gari nimegundua kile kibati cha chasis number hakipo.
Nimejaribu kulizia kwa fundi wangu niliponyoosha body na rangi hajakiona.
Je nawezaje kukipata ama kuchonga chasis number zingine ?