miss_mbeya
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 1,073
- 1,021
Kama unatumia uzazi wa mpango hasa vijiti kama sikosea inapunguza hamu ya tendo la ndoa! Ilitokea kwa wife pia baada ya first born wetu aliweka hayo ma vituWapendwa nawasalimu kwa upendo wa Mwenyezi Mungu,Mungu katujalia mtoto mwezi wa nane mwishoni but ,kwasasa nimepoteza hamu ya tendo la ndoa ,sijajua shida ni nini ? Naomba ushauri wenu wadau hasa walio katika ndoa kama hii hali imewahi wapata na wakatatua kwa njia gani ,thanx in advance
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanawake wengi mkizaaa kipindi mnanyonyesha huwa mnahamishia mapenzi kwa watoto, na hapo ndo wanaume huchepuka haswa, maana ukishikwa katika bed huleti ushirikiano, nakushauri mpe jamaa haki yake ili usije ukajikuta unasababisha jamaa kuhamia nyumba ndogoWapendwa nawasalimu kwa upendo wa Mwenyezi Mungu,Mungu katujalia mtoto mwezi wa nane mwishoni but ,kwasasa nimepoteza hamu ya tendo la ndoa ,sijajua shida ni nini ? Naomba ushauri wenu wadau hasa walio katika ndoa kama hii hali imewahi wapata na wakatatua kwa njia gani ,thanx in advance
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni ujinga ambao wanawake wengi hufanyaWanawake wengi mkizaaa kipindi mnanyonyesha huwa mnahamishia mapenzi kwa watoto, na hapo ndo wanaume huchepuka haswa, maana ukishikwa katika bed huleti ushirikiano, nakushauri mpe jamaa haki yake ili usije ukajikuta unasababisha jamaa kuhamia nyumba ndogo
Issue yako ni psychological zaidi.
Kuna kitu mume kikubwa mume wake alimuudhi yeye amedharau au amesamehe lakini inner feelings bado inaumia.
Mkuu ni kweli kabisa; wanawake wengi hua wanapata side effect kwenye uzazi wa mpango. Na ili kujikinga na unplanned pregnancies, lazima tutumie hayo mavitu au baba ujikingeKama unatumia uzazi wa mpango hasa vijiti kama sikosea inapunguza hamu ya tendo la ndoa! Ilitokea kwa wife pia baada ya first born wetu aliweka hayo ma vitu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu mume kikubwa mume wake alimuudhi yeye amedharau au amesamehe lakini inner feelings bado inaumia.
Tatizo si ajabu hata yeye amesahau. Afanye meditation, kwenye utulivu mkubwa ikiwezekana nyimbo zimsaidie kama Michael Bolton ananisaidia sana mimi.
Akikumbuka aianzishe wamsimalize.
Aanzishe mazungumzo mpaka wafikie makubaliano.Nimekuelewa vizuri sana @ Sky, lakini hiyo sentesi yako ya mwisho hapo sijaelewa naomba urudie , unajua humu tunasidiana pia!
Yani umesema kitu sahihi mwanaume akikuudhi mfano umegundua ana mchepuko na unaujua na watu wa jamii yenu wanajua kama vile kwenye kwaya au kanisani, majirani, ndugu n.k hali hiyo huwa inauma sana kiasi cha kumkinahi kabisa mwanaume kweny 6*6
Sent using Jamii Forums mobile app
kabisaaNimekuelewa vizuri sana @ Sky, lakini hiyo sentesi yako ya mwisho hapo sijaelewa naomba urudie , unajua humu tunasidiana pia!
Yani umesema kitu sahihi mwanaume akikuudhi mfano umegundua ana mchepuko na unaujua na watu wa jamii yenu wanajua kama vile kwenye kwaya au kanisani, majirani, ndugu n.k hali hiyo huwa inauma sana kiasi cha kumkinahi kabisa mwanaume kweny 6*6
Sent using Jamii Forums mobile app