Nimepoteza hamu ya tendo la ndoa, sijajua shida ni nini

Kambaku

JF-Expert Member
Nov 12, 2011
4,343
2,000
Mtoto huwa anasumbua sana labda kula, afya au chochote Miss Mbeya?
 
nipekidogo

JF-Expert Member
Apr 17, 2019
1,594
1,980
Wapendwa nawasalimu kwa upendo wa Mwenyezi Mungu,Mungu katujalia mtoto mwezi wa nane mwishoni but ,kwasasa nimepoteza hamu ya tendo la ndoa ,sijajua shida ni nini ? Naomba ushauri wenu wadau hasa walio katika ndoa kama hii hali imewahi wapata na wakatatua kwa njia gani ,thanx in advance

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama unatumia uzazi wa mpango hasa vijiti kama sikosea inapunguza hamu ya tendo la ndoa! Ilitokea kwa wife pia baada ya first born wetu aliweka hayo ma vitu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Baba Joseph17

JF-Expert Member
Jul 15, 2013
9,171

Wanawake wengi mkizaaa kipindi mnanyonyesha huwa mnahamishia mapenzi kwa watoto, na hapo ndo wanaume huchepuka haswa, maana ukishikwa katika bed huleti ushirikiano, nakushauri mpe jamaa haki yake ili usije ukajikuta unasababisha jamaa kuhamia nyumba ndogo
 
hb Mujahideen

Senior Member
Nov 23, 2019
153
250
Huyu ni me au ke?

Kama n ke, namshauri anunue misk nyeupe atie kweny uke, ni dawa nzuri inayotia joto ukeni, yaani utatamani tendo mwenyewe asee

Pia n njia salaam kwani imeusiwa na Mtume Muhammad (saw) kuwa wanawake watumie miski

Pia faida nyengine husafisha uke na kuwa mzuri, huondoa harufu,

Kwa hali ilivyobana ni njia nyepesi, kwani miski ni elfu Tatu tuh, so huwezi shindwa

Nenda maduka ya vipodozi au ya asili waambie wakupe miski

Utakuja kunishukuru

ANGALIZO: kama mumeo hajiwezi kweny safari, Tumia kwa uchache,

Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hb Mujahideen

Senior Member
Nov 23, 2019
153
250
Wanawake wengi mkizaaa kipindi mnanyonyesha huwa mnahamishia mapenzi kwa watoto, na hapo ndo wanaume huchepuka haswa, maana ukishikwa katika bed huleti ushirikiano, nakushauri mpe jamaa haki yake ili usije ukajikuta unasababisha jamaa kuhamia nyumba ndogo
Huu ni ujinga ambao wanawake wengi hufanya

Alafu, kidume ukiongeza mke yanaanza papara, hawajui kuwa ttzo n wao wenyeweSent using Jamii Forums mobile app
 
SK2016

JF-Expert Member
Apr 6, 2017
8,009
2,000
Yawezekana tatizo liko kwako;
1. Upendo umeelekeza kwenye malezi ya mtoto ukamsahau mumeo.
2. Mabadiliko ya mwili tu.

Au tatizo liko kwa mumeo;
1. Hakuandai vizuri
2. Kupunguza shughuli kitandani, baada ya kuona uko busy na mtoto sana.

Sasa, tafuta suluhisho mapema. Hata kwa kujilazimisha.
Maana matokeo yake yatakuumiza zaidi ya unavyofikiria.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
54,785
2,000
Nini kifanyike aweze kupata ufumbuzi wa hiyo shida?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna kitu mume kikubwa mume wake alimuudhi yeye amedharau au amesamehe lakini inner feelings bado inaumia.

Tatizo si ajabu hata yeye amesahau. Afanye meditation, kwenye utulivu mkubwa ikiwezekana nyimbo zimsaidie kama Michael Bolton ananisaidia sana mimi.

Akikumbuka aianzishe wamsimalize.
 
MERCIFUL

JF-Expert Member
Oct 17, 2011
2,689
2,000
Kama unatumia uzazi wa mpango hasa vijiti kama sikosea inapunguza hamu ya tendo la ndoa! Ilitokea kwa wife pia baada ya first born wetu aliweka hayo ma vitu

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ni kweli kabisa; wanawake wengi hua wanapata side effect kwenye uzazi wa mpango. Na ili kujikinga na unplanned pregnancies, lazima tutumie hayo mavitu au baba ujikinge
 
Akilinjema

JF-Expert Member
Aug 9, 2016
7,250
2,000
Kuna kitu mume kikubwa mume wake alimuudhi yeye amedharau au amesamehe lakini inner feelings bado inaumia.

Tatizo si ajabu hata yeye amesahau. Afanye meditation, kwenye utulivu mkubwa ikiwezekana nyimbo zimsaidie kama Michael Bolton ananisaidia sana mimi.

Akikumbuka aianzishe wamsimalize.

Nimekuelewa vizuri sana @ Sky, lakini hiyo sentesi yako ya mwisho hapo sijaelewa naomba urudie , unajua humu tunasidiana pia!

Yani umesema kitu sahihi mwanaume akikuudhi mfano umegundua ana mchepuko na unaujua na watu wa jamii yenu wanajua kama vile kwenye kwaya au kanisani, majirani, ndugu n.k hali hiyo huwa inauma sana kiasi cha kumkinahi kabisa mwanaume kweny 6*6

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
54,785
2,000
Nimekuelewa vizuri sana @ Sky, lakini hiyo sentesi yako ya mwisho hapo sijaelewa naomba urudie , unajua humu tunasidiana pia!

Yani umesema kitu sahihi mwanaume akikuudhi mfano umegundua ana mchepuko na unaujua na watu wa jamii yenu wanajua kama vile kwenye kwaya au kanisani, majirani, ndugu n.k hali hiyo huwa inauma sana kiasi cha kumkinahi kabisa mwanaume kweny 6*6

Sent using Jamii Forums mobile app
Aanzishe mazungumzo mpaka wafikie makubaliano.
 
osiligi2018

Member
Nov 25, 2019
62
125
Nimekuelewa vizuri sana @ Sky, lakini hiyo sentesi yako ya mwisho hapo sijaelewa naomba urudie , unajua humu tunasidiana pia!

Yani umesema kitu sahihi mwanaume akikuudhi mfano umegundua ana mchepuko na unaujua na watu wa jamii yenu wanajua kama vile kwenye kwaya au kanisani, majirani, ndugu n.k hali hiyo huwa inauma sana kiasi cha kumkinahi kabisa mwanaume kweny 6*6

Sent using Jamii Forums mobile app
kabisaa
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom