miss_mbeya
JF-Expert Member
- Mar 24, 2015
- 1,073
- 1,021
Wapendwa nawasalimu kwa upendo wa Mwenyezi Mungu, Mungu katujalia mtoto mwezi wa nane mwishoni but, kwasasa nimepoteza hamu ya tendo la ndoa, sijajua shida ni nini.
Naomba ushauri wenu wadau hasa walio katika ndoa kama hii hali imewahi wapata na wakatatua kwa njia gani?
Thanks in advance
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba ushauri wenu wadau hasa walio katika ndoa kama hii hali imewahi wapata na wakatatua kwa njia gani?
Thanks in advance
Sent using Jamii Forums mobile app