Sigara Kali
JF-Expert Member
- May 28, 2017
- 3,730
- 8,815
Buena Domingo mi gentes
Bwana Yesu asifiwe
Niende kwenye mada
Baada ya kukaa mbali na wife na kutomgegeda kwa miezi kadhaa kutokana na kuishi mbalimbali,hatimaye nimerudi kuungana na familia.
Sasa tatizo/Hali nliyonayo ni kupoteza hamu ya kumgegeda wife,nadindisha vizuri na sina msongo wa mawazo ila najiona tu nakosa ule mzuka wa kumgegeda,kwa sasa mke wangu ananyonyesha na tangu nikutane nae mwanzoni mwa mwezi huu wala sijawa na mzuka nae
Hapa nawaza atanielewaje Yani Sina hamu nae kabisaaa,na tangu nitoke safari sijawahi kuchepuka lakini mzuka wa kumgonga huyu mwanamke Sina
Nifanyaje jamanii!!!????