Nimepoteza hamu kwa mke wangu,nifanyaje?

Nimepoteza hamu kwa mke wangu,nifanyaje?

Ushauri kwa akina-dada, unapoolewa ni vyema ukaendelea kutunza sehemu zote ambazo mwanaume zinampandisha ashiki; hiyo itadumisha ndoa ndoa yako na usichokwe mapema. Mfano, mwanamke ati kwa sababu ameshaolewa basi anakaa uchi uchi kwa mume wake, ndani ya muda mrefu mmeo anakuona na wakawaida sana, lakini anaweza ona Paja la HG ambalo ni nadra kuliona na kusihi mapigo ya moyo yakienda mbio, ni vyema wapenzi wetu tofauti na wakati tunapokuwa tumeamua kuwashughulikia ni vyema wakajistri hata kama wameolewa.
 
Zamani walikuwa wazee wanapata muda wa separation ili kupata nafasi ya kumkumbuka mwenzio, sku hizi likizo muende wote, outing wote, mwishoe ndo hy yaliyokukumba
 
Vumilia na jitahidi kumuonyesha unampenda hata kama humpendi..nahisi ni moja ya sehemu ya NDOA
 
vipi kuhusu matarajio yako ya kimaisha?
unardihika ulipo kazini?
mkeo unahisi amebadilika umbile alilokuwa nalo mwanzo?
unahisi mkeo ana attention sana na mtoto kuliko wewe?
kifedha je unamudu kuprovide kwa familia yako?
unajiamini uwezo wako wa kijinsia uko poa?
kuna kitu negative umesikia kuhusu mkeo?
unahisi mkeo amekudominate kiuchumi,kielimu,kimawasiliano,?
hebu funguka zaidi kwa mwongozo huo hapo juu!
Maswali muhimu kweli kweli.
 
Tafuta safari itakayokuweka mbali na familia yako kwa muda mrefu kidogo kama miezi sita hivi. Au fanya mazoezi kila baada ya kutoka kazini upunguze stress
 
Utakuwa una StreSS...chukua Leave ..kazurure Duniani like 3weekS ivi...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom