Nimepoteza hamu kabisa

Acha mawazo ya kitoto, disappointment zipo sehem nyingi tu si mapenzi peke yake, kikubwa tambua maisha lazma yasonge, angalia tu ulikosea wapi then tafuta mwngne songa.
 
Tangia mwanaume wangu anisumbue! Kwa sasa sina hamu kabisa ya kuwa na mwanaume mwengine!....

Ata nitongozwe vipi stimu hazipandi

Sijui nifanyaje!
Kwani mkitongozwa hua stimu zinapanda hapo hapo ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…