Nimepona

kweli mkuu,

tatizo kama lile huwa linachukua muda kuisha. huyu anafanya usanii tu, anatest kuona kama kuna great thinkers hapa!!!!!!!!

Mazingaobwe hayatakaa yaishe JF!

Huyu jamaa ni mtaalamu wa kutunga stori. Maana kuna siku alisema kuna mama mmoja tena mke wa mtu anamtaka kwa kuwa alimwona yuko peke yake nyumbani na kuna siku alimkumta anafua. Mara akawa anamfuata nyumbani kwakwe waende wote kanisani. Baada ya siku nne anakuja anasema anaishi na mwanamke na mtoto wa kike wa dada yake na kawakuta wanasagana. Hazikupita siku nne tena anasema "mtarimbo wake haufanyikazi vizuri kwa "maiwaifu" wake. Leo kishapona. Unaona mtiririko wa uongo wa huyu jamaa!
 
Habari wana JF kuna yeyote ajuaye namna naweza kupata matokeo ya QT exams ilofanyika mwaka jana, nimejaribu kuzuru wavuti ya baraza la mitihani sijafanikiwa kupata kwani kuna matokeo ya mwaka 1988, naomba msaada wana JF
 
Duh, eee bwana ee umecompile uwongo wa huyu mtu mpaka basi..

Sasa kuna suckers humu walishaingia kingi bado kuliwa tatu tu.lol
 
Habari wana JF kuna yeyote ajuaye namna naweza kupata matokeo ya QT exams ilofanyika mwaka jana, nimejaribu kuzuru wavuti ya baraza la mitihani sijafanikiwa kupata kwani kuna matokeo ya mwaka 1988, naomba msaada wana JF

QT ndio nini?? Halafu ungeanzisha thread kabisa badala ya kuchomekea bandiko lako huku, watu hawataliona ili wakusaidie.
 
kwa hiyo ulikuwa na matatizo ya kisaikolojia au? maana naona umepona kwa muda mfupi tu
uwe na amani ..we love you Sumbalawinyo
 
ahahahaha....kweli fl-1...huyu tena sio kisaikolojia kiviiile...mwisho wa mwezi kapokea kijimshahara kalipa madeni walokuwa wakimdai..

hasa ukichukulia akiba yooote alilipia karo za shule...bado kodi ya nyumba, bado ofisi yake binafsi a.k.a kibanda cha biashara...achilia mbali kodi ya salon kwa bi mdogo....bado anadaiwa insurance ya gari na road licence....full madeni hadi mtarimbo ukalala doro...sasa kakamata 1st salary slip ya 2010..amesahau vijipressure kwa muda...

utasikia ikikaribia pasaka analalamika UMELALA HUOOOO...UMELALA HUOOO...MTARIMBO UMELALA DOROO
 
haha haha haaaaaa.... hapo na mimi nimekuunga mkono jum,la na rejareja.
 
Hongera kwa kupona, MUNGU AWABARIKI WOTE waliochangia kukubeza na Waliokupa mawazo mazuri.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom