Nimepona MziziMkavu

Una post 1958

Rep power 2157217

Likes received 297

Likes given 0

Mkuu jitahidi kutoa like tafadhali. Huna hata moja?
 
Hahahaaa mgonjwa kapona,kwani ulitumia vitungu kiasi gani? na ulichanganya na nini?

Japo unazuga ila najua unataka dawa.tafuna punje mbili asubuhi na jioni saa moja kabla ya kula chochote au saa moja baada ya kula tafuna kwa siku 3.
 
ni tiba sana. hata ukisoma kwenye madawa na products nyingi za viwandani - vyakula vya kwenye makopo utaona mojawapo.ya vitu umo ndani ni gallic inafanya hayo mataputapu yao yakae mda mrefu bila kuoza. ni tiba mzuri pia kwa magonjwa ya ngozi kama mba ,mapunye etc
 
Daah mshantoa matongo square ngoja nianze doz maana tangu nifukuzwe wenyekit kule chaputa naona 2lubai halisimami kwa mlingot mmoja kisawasawa.mungu akubarik mgonjwa mungu mbarik mzzmkavu mungu ibariki jf mungu ibarik tanzania mungu ibarik bunduk yangu coz as soon as pocble naingia kwa ndoa
 
Janja ya nyani kula hindi bichi, ni ujanja wa kuuza dawa za mti mkavu tu hapa na inawezekana ni mtu huyo hoyo kwa majina tofauti anacheza na akili za wenye akili!
 
Janja ya nyani kula hindi bichi, ni ujanja wa kuuza dawa za mti mkavu tu hapa na inawezekana ni mtu huyo hoyo kwa majina tofauti anacheza na akili za wenye akili!
Mkuu pilipili kichaa Mimi Sina jina lingine zaidi ya hilo jina langu MziziMkavu Hauchimbwi dawa na ukiweza Tembelea Blog yangu utapata faida tele bonyeza hapa Mzizi Mkavu
 
Last edited by a moderator:
Janja ya nyani kula hindi bichi, ni ujanja wa kuuza dawa za mti mkavu tu hapa na inawezekana ni mtu huyo hoyo kwa majina tofauti anacheza na akili za wenye akili!

ati! kwa maneno yako nawe unajiita mwenye akili!!?....ushazoea madokta njaa wenye tamaa ya mali za wagonjwa bila kutoa msaada, unazani wote wako hvyo
husitutibulie dokta wetu kwa fikra zako fupi!
 
Mkuu pilipili kichaa Mimi Sina jina lingine zaidi ya hilo jina langu MziziMkavu Hauchimbwi dawa na ukiweza Tembelea Blog yangu utapata faida tele bonyeza hapa Mzizi Mkavu

Mkuu MziziMkavu nimetembelea Blog yako. Hakika ni muhimu kila anayependa afya yake atembelee kule ili pia familia yake ikae sawa. Itakuwa ni one of my favourite. Asante sana ubarikiwe.
 
Mkuu MziziMkavu nimetembelea Blog yako. Hakika ni muhimu kila anayependa afya yake atembelee kule ili pia familia yake ikae sawa. Itakuwa ni one of my favourite. Asante sana ubarikiwe.
Asante Mkuu kwa kunipa Feedback kwa watu wengine hawajuwi Blog yangu wanitembele kwa kubonyeza hapa Mzizi Mkavu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…