Albosignathus
JF-Expert Member
- Apr 26, 2013
- 4,898
- 1,051
hahhaha kumekucha
Kaka iyo ndio athaumu...mishipa ya makao makuu ilikua legevu mkuu...
kwani ulikuwa hujuwi kuwa kitunguu swaumu ni tiba namba 1 ya tatizo la nguvu za kiume?
ukiwaona warabu miaka 60 wanaoa binti wa miaka 20 usishangae io ndo siri ya mtungi...jamaa wanakula sana hivi vitunguu
Mkuu juzi nimeona umemwambia mtu kuhusu matibabu ya kitunguu Swaumu dhidi ya malaria sugu kwakweli nimeitumia na siku ya pili leo naona niko fiti sana.Cha ajabu na uume wangu leo usiku mzima ulikuwa umesimama mpaka nikaona kero na ikabidi nichukue maji baridi sana kwenye jokofu na kuimwagia ndipo nikapata nafuu na kulala usingizi,vipi na huko inaimarisha nini??
nyeto umeacha?
hua wanavisaga kwa blender na kuifanya kama juice...hawatii maji mengi....wale Mabandidu huwa wanatafuna tu