Nimepokea barua ya Invitation (Norway) napataje VISA?

Secret Star

JF-Expert Member
Jul 1, 2011
1,708
1,553
Habari wakuu,

Nina ndugu yangu kutoka Norway amenitumia barua ya mwaliko ya kwenda huko kutembea. So kwa wataalamu naombeni kujua ni njia gani ninafuata ili niweze kupata VISA.

Asanteni.
 
Kuna masuala ambayo unahitaji uyajue na umuulize huyo ndugu yako alokuwepo huko norway.
Kiufupi ujue vizuri maisha ya ndugu yako huko yakoje, anafanya kazi gani, ana kipato gani cha kuweza kukualika, yupo na status gani, n.k.
na wewe mwenyewe hapo ulipo, una kazi gani, bank statement yako ikoje, na mengineyo.
 
Inabidi uombe tourist visa na ubalozi wa Norway kwa sasa uko Nairobi. Ila kwa sasa tourist visa hutaweza kuingia Norway kwa sababu ya mambo ya COVID-19. Inabidi uvute subira kidogo mpaka mwaka kesho labda.
 
Hakikisha una pasi ya kusafiria.

Tafuta ulipo ubalozi wa Norway Dar Es Salaam, nenda ukiwa na barua ya mualiko na pasi ya kusafiria. Watakueleza nini cha ziada kinachotakiwa.
 
Chief kapime kitu cha covid 19 then tulia tu bongo mambo yata settle, maana kama.mdau mmoja amesema ubalozi wa norway upo kunyaland na unawafahamu kunyaland walivyo na gubu, utafika kule wata kwambia ni positive watakurudisha bongo utakuwa devastated
aisee kumbe ubalozi tz wamefunga!
 
1. Mualiko wa aina gani, harusi, mgonjwa kumjulia hali au kukusaidia kushangaa mji?
2.Mahusiano yenu na aliyekuletea mualiko?
3.Nani atagharamia safari yako na gharama wakati uko kule?
4. Kama ni yeye au wewe mwenyewe au mutashirikians, uwezo wa fedha munao? Watataka ushahidi wa source of income na bank statrment.
5. Una shughuli gani wewe?
6 Uko kwenye ndoa na una watoto au familia inakutegemea?
7. Una assets zozote e.g house or land etc
8. Una bima ya afya in case ukiumwa au kupata ajali wakati uko kule?
9 Unategemea kukaa kwa muda gani?
10. Ushawahi kutembelea au kuomba visa ya nchi yoyote ya EU?

Hint; 1. Usimwambie mtu kama unaenda kuomba visa. Utajitia pressure na tension siku ya mahojiano.
2. Usivae Kisharo wala too official kwenye mahojiano. Vaa kama unakwenda Kariakoo tu hata na sandles lakini sio short. Kama una tatoo hakikisha vaa shati la mikono mirefu. Tatoo could be translated as gangs related.
3. Usiwe too obedient kwa interviwer. Act like you dont care much.
4. A little knowledge of the place you visit and what you wantbto see.
5.Kama hutaki kwenda stil nenda kwa interview utapata experience and mara nyingi sura yako itasomeka kuwa huko too desperate na una chance kubwa ya kupata. Ukiomba tena mara ya 2 ita boost chance yako
 
Aisee asante sana nilitegemea kukutana na msaada wa aina hii, asante sana mzee nakushukuru

Similar Discussions

Back
Top Bottom