Sky when did check up for HIV?Hongera sana na ujilinde
Unataka unioe?Sky when did check up for HIV?
Ni njema pia kijana wetu akijitwaliaUnataka unioe?
Kama kuna nafasi ila kama imejaa mwache aleUnataka unioe?
KabsaNi njema pia kijana wetu akijitwalia
Je inapofika zaid ya mwaka na ukacheki hauna inakuaje hapo kwamba Kuna nafasi ya positive badae?Majibu yalikua kama haya? Kama umelala naye na umepima huna ni sawa lakini bado huwezi kujiamini kwakua virusi kuanza kuonekana vinategemea na kinga ya mwili wako lakini pia kumbuka unaweza kupata maambukizi na ukaishi navyo kwa zaidi ya miezi 6 au mwaka na visionekane.Chamsingi endelea kufanya check up kila baada ya miezi mitatu,endapo utaonekana upo salama basi achana na ngono isiyo salama au acha kabisa uzinzi pia ukiwa navyo utapatiwa ushauri lakini usisambaze kwa makusudi
Mara nyingi mtu huwa salama ingawa kuna watu wengine kinga zao ni kubwa hivyo anaweza kuchukua muda mrefu kuonekana na virusi vya HIVJe inapofika zaid ya mwaka na ukacheki hauna inakuaje hapo kwamba Kuna nafasi ya positive badae?