Nimepima Hepatitis B niko positive

Unaleta utani na uhuni kwenye vitu vya msingi...!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe umejiunga mwaka 2016 unanijuwa mimi ninaleta Utani? Tangu lini nikaleta utani katika jambo lililo gumu na zito kama hili? Wewe una miaka 3 hunijuwi sikujuwi mimi nina miaka 10 humu jamvini waulize watu wanao nijuwa humu jamvini mimi ni nani katika Jamiif Forums hii? Sipendagi kutoa ushauri wa utani katika maradhi. Kijana Jaribu kunifuatilia upate faida toka kwangu mimi. Umri wangu hauniruhusu kuleta mambo ya utani haswa linapokuwa tatizo zito la ugonjwa kijana kaa mbali na mimi .
 
Ila mkuu angalia bei zako sio rafiki kabisa kwa mfuko wa mtanzania
Mkuu ni kweli lakini Dawa za kutibu Maradhi ya homa ya ini aka Hepatitits B Virus , Maradhi ya Saratani na Maradhi ya Ukimwi aka HIV dawa ninazinunuwa toka nje Ya Tanzania na huko ninako agiza Dawa huwa nina nunuwa kwa pesa ya Dollar sio kwa pesa ya Shilingi. na Ndio maana bei ya dawa zangu ni ghali gharama ya ununuzi na gharama ya usafirishaji mpaka zikufikie ina ni-Coast mimi ninaye kuletea hizo dawa. Laiti dawa zingelikuwa zinapatikana hapo Tanzania isingelikuwa bei kubwa.
 
Hakuna ugonjwa ambao wewe mtu huwezi kuutibu!! Bila shaka hadi UKIMWI unatibu!

Hatari Sana!!!!

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Ukimwi Sio Ugonjwa Maana ya neno (Ukimwi) ni UPUNGUFU WA KINGA ZA MWILI (UKIMWI) AU (HIV) Hakuna Ugonjwa duniani unaitwa Ugonjwa wa Ukimwi. kwa imani yangu mimi ya Dini kama ni Muislam (HAKUNA MARADHI YASIYO KUWA NA DAWA YAKE)

Dr Sebi Tells How He Cures A.I.D.S

THERE IS ONLY ONE DISEASE MUCUS.......


WHERE MUCUS IS THE HUMMAN BODY?


According to Dr. Sebi, there exist only one disease which is mucus. He contended mucus in skin, blood and lymphatic system and membranes causes many afflictions.

DR.SEBI ADVICE IF YOU WANT CURE REMOVE THIS:

Dr. Sebi warned “remove from your diet lactose, uric acid, carbonic acid, milk, starches and meat.”
He pointed out any patient who gets the above eliminated form his system begins to recover in 24 hours and by 2 weeks will be fully recovered.

 
Shusha hizo hints hapa mkuu. Achana na dokta wa nyambari
 
Mtake radhi MziziMkavu maana sio muhuni kwa nimjuavyo Mimi,ni MTU wa tiba asilia ,so ungemshauri tu nasio kumuita muhuni,huenda wewe labda ni mgeni jf lakini mzizimkavu ni mkongwe humu most of jf members wanamjua

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu huyu Kijana kwa jina clecla said: hanijuwi kabisa katika hili jukwaa anafikiri mimi ninakurupia Topic za watu pasipo na kuwa na elimu na kile ninacho sema huyu Bwana mdogo clecla said: ana kama miezi 6 humu jamvini anaropoka ovyo kama mtu wa miaka mingi humu jamvini mtoto mdogo. Ninafikiri ninaweza hata kumzaa. Mwache aropoke kama mtu aliyekunywa maji chooni.Mpumbepumbe huyu.
 

Achukue huu ushaurii basii au amuone mzizimkavu zaidi


Sent using Jamii Forums mobile app
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapo kwenye Vitini vya nyambali 🤣🤣nimekumbuka mbali sanaa [emoji23][emoji23]🤣🤣


Sent using Jamii Forums mobile app
 
How sure are you? unajua umekaa na ugonjwa kwa muda gani kabla ya kuugundua ulipoenda for a test?

Can you tell this is acute and this is chronic, can you differentiate the two?

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…