Vipi mkuu ,Kuna dawa za kiarabu Kama utahitaji kuzitumia zipo zimewasaidia wengi na hazina gharama.Mkuu huu ugonjwa umenipa panic...Namshukuru jamii forum nimejitambua mapema ,coz wengi wetu hatuna hatuna huelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
HABARI NA POLE SANA KWA SHIDA ULIYOIPATA ILA USIWE NA HOFU SANA SABABU HBV KUNA BAADHI YA WATU HUPONA NDIO ILA NAOMBA NIKWAMBIE KITU KIDOGO CHA MUHIMU HAPABaada ya kufuatilia uzi hapa inayohusu Hepatitis B, leo nilienda kufanya vacination, wakasema hawawezi kutoa vacination bila kupima, wakapima nikiwa naona kwa sababu aliyenipima tunazoea naye.
Baada ya kupima, ikatiki (ikareact), akabadilisha kipimo ya kampuni nyingine.
Ikatiki tena (ikareact) hapo nikaprove am Hepatitis B positive, akaniomba nakapime na HIV ili ajue jinsi ya kunikacounsel kwa kuwa sikuwa na wasi wasi kwenye HIV coz najijua na najitahidi sana kujikinga pamoja na kupima HIV mara kwa mara vipimo viwili tofauti ikaonyesha Negative (Non reactive).
Hapa nimeshauriwa nitatumia ARV kwa miezi sita alafu narudia kupima tena, wakanitia moto nitapona bila shida.
Nawauliza kuna aliyewahi kutumia ARV (TLD) kutibu Hepatitis B disease anipe mwongozo, alipoenda kupima baada ya kutumia dawa alipata majibu aina gani?
Unapona kweli? Au nikusubiri kifo mapema? Cha ajabu sijawahi kusikia tatizo lolote kubwa ya kiafya.
Naomba msaada kwa mwenye uelewa na cha kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu please usichanganyikiwe kabisa... Hepatitis B inatibika nakuomba fuata uliyoambiwa na daktariHapa kweli nachanganyikiwa nifuate ipi...yani maisha yamekuwa mafupi sana ,unajinkinga na hili, nyingine linatokea ..ningepata aliyewahi kutumia haya madawa ,akapona ningepata mwanaga.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ilikuwa wajisikiaje hadi kuamua kupima?Baada ya kufuatilia uzi hapa inayohusu Hepatitis B, leo nilienda kufanya vacination, wakasema hawawezi kutoa vacination bila kupima, wakapima nikiwa naona kwa sababu aliyenipima tunazoea naye.
Baada ya kupima, ikatiki (ikareact), akabadilisha kipimo ya kampuni nyingine.
Ikatiki tena (ikareact) hapo nikaprove am Hepatitis B positive, akaniomba nakapime na HIV ili ajue jinsi ya kunikacounsel kwa kuwa sikuwa na wasi wasi kwenye HIV coz najijua na najitahidi sana kujikinga pamoja na kupima HIV mara kwa mara vipimo viwili tofauti ikaonyesha Negative (Non reactive).
Hapa nimeshauriwa nitatumia ARV kwa miezi sita alafu narudia kupima tena, wakanitia moto nitapona bila shida.
Nawauliza kuna aliyewahi kutumia ARV (TLD) kutibu Hepatitis B disease anipe mwongozo, alipoenda kupima baada ya kutumia dawa alipata majibu aina gani?
Unapona kweli? Au nikusubiri kifo mapema? Cha ajabu sijawahi kusikia tatizo lolote kubwa ya kiafya.
Naomba msaada kwa mwenye uelewa na cha kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huna unalojua wewe , issue ndogo ya Hepatitis B inakutoa Jasho na ukute ni mtu kasomeshwa kwa Kodi zetu wananchi..Wewe unajua nn?? simpaka usimuliwe ?? Mimi navifanyia kazi daily....nyau wee !!!
Pole sana mkuu. Mm nnaishi na huo ugonjwa kwa mwaka wa 5 sasa, madakatar weng Tz hawajaufaham vizur na utafiti bado unaendelea ndo maaana hakuna mwenye jibu la moja kwa moja kuwa nn chanzo cha homa ya ini, nakushauri mm achana na hizo ARV ishi kwa kulilinda Inni lako basi utatoboa kulko hataa wasiokuwa na hivi virusi.

Lengo kubwa ilikuwa kufanya vacination ya HBV na ndio haya mambo yakatokea ..in short namuachie Mungu cna cha kusema
Weee bana tulia huna ujualo.Huna unalojua wewe , issue ndogo ya Hepatitis B inakutoa Jasho na ukute ni mtu kasomeshwa kwa Kodi zetu wananchi..
Unashindwa ku-argue kwa hoja unakimbilia eti "Mimi navifanyia kazi daily"
Kuna mzungu mmoja ni daktari ambae najua wewe mpaka kifo chako huwezi fikia status yake kwenye masuala ya afya alinipa hizo hints na ni kweli Zina logic na kumake sense...
Sasa wewe daktari wa vitini na notes za nyambali nyangwine ukute chuo umesomea hapo St Joseph unajiona unajua kila kitu kumbe mweupe Kama unga kichwani ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana usiumie sana Mkuu, HBV ni more infectious Mara 15 zaidi ya HIV ivo ni rahis kuipata ndio maana hukujijua awali.Lengo kubwa ilikuwa kufanya vacination ya HBV na ndio haya mambo yakatokea ..in short namuachie Mungu cna cha kusema
Sent using Jamii Forums mobile app
Baada ya kufuatilia uzi hapa inayohusu Hepatitis B, leo nilienda kufanya vacination, wakasema hawawezi kutoa vacination bila kupima, wakapima nikiwa naona kwa sababu aliyenipima tunazoea naye.
Baada ya kupima, ikatiki (ikareact), akabadilisha kipimo ya kampuni nyingine.
Ikatiki tena (ikareact) hapo nikaprove am Hepatitis B positive, akaniomba nakapime na HIV ili ajue jinsi ya kunikacounsel kwa kuwa sikuwa na wasi wasi kwenye HIV coz najijua na najitahidi sana kujikinga pamoja na kupima HIV mara kwa mara vipimo viwili tofauti ikaonyesha Negative (Non reactive).
Hapa nimeshauriwa nitatumia ARV kwa miezi sita alafu narudia kupima tena, wakanitia moto nitapona bila shida.
Nawauliza kuna aliyewahi kutumia ARV (TLD) kutibu Hepatitis B disease anipe mwongozo, alipoenda kupima baada ya kutumia dawa alipata majibu aina gani?
Unapona kweli? Au nikusubiri kifo mapema? Cha ajabu sijawahi kusikia tatizo lolote kubwa ya kiafya.
Naomba msaada kwa mwenye uelewa na cha kufanya.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwambie sasa na jinsi ya kulilinda hilo iniPole sana mkuu. Mm nnaishi na huo ugonjwa kwa mwaka wa 5 sasa, madakatar weng Tz hawajaufaham vizur na utafiti bado unaendelea ndo maaana hakuna mwenye jibu la moja kwa moja kuwa nn chanzo cha homa ya ini, nakushauri mm achana na hizo ARV ishi kwa kulilinda Inni lako basi utatoboa kulko hataa wasiokuwa na hivi virusi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana usiumie sana Mkuu, HBV ni more infectious Mara 15 zaidi ya HIV ivo ni rahis kuipata ndio maana hukujijua awali.
Mimi Naweza kukuunganisha na watu naowajua wakakupa uzoefu wao ambao umepelekea kupona.
Kikubwa fuata Mashariti tu ,Kula vzuri uimarishe kinga then Utapona... Ilo ndo naloweza kukuambia.
Kama utasuasua ktk matibabu ,ugonjwa ukawa Chronic ndio hatare zaidi.
USIKATE TAMAA!!!
Ingekuwa vizuri ukasema jamaa kakosea wapi..kuanza mipasho sio jambo jema,na mwisho wa siku utaonekana wewe ndo mpumbavuHuna unalojua wewe , issue ndogo ya Hepatitis B inakutoa Jasho na ukute ni mtu kasomeshwa kwa Kodi zetu wananchi..
Unashindwa ku-argue kwa hoja unakimbilia eti "Mimi navifanyia kazi daily"
Kuna mzungu mmoja ni daktari ambae najua wewe mpaka kifo chako huwezi fikia status yake kwenye masuala ya afya alinipa hizo hints na ni kweli Zina logic na kumake sense...
Sasa wewe daktari wa vitini na notes za nyambali nyangwine ukute chuo umesomea hapo St Joseph unajiona unajua kila kitu kumbe mweupe Kama unga kichwani ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Soma thread nzimaIngekuwa vizuri ukasema jamaa kakosea wapi..kuanza mipasho sio jambo jema,na mwisho wa siku utaonekana wewe ndo mpumbavu