Modes wafatilie hichi kisa kinaifanya JF idharaulike, kwanza ningekuwa mimi ndio nimetongozwa ningebadili na ID kabisa kwa vile tayari nimeshatiwa nuksi nahitaji kuoga na maji ya baraka na kufunga kwa novena ya siku 9 bila kuzungumza na mtu yeyote, yaani ni kusali na kuimba tu kwa Mungu anisafishe na hiyo nuksi