Nimepigwa suspension ya unyumba

Nimepigwa suspension ya unyumba

Ududu

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2013
Posts
1,020
Reaction score
556
Ni shida kweli na baridi hili,wife kasema hadi Ramadhan iishe ndio atarudi kunipa unyumba!ni kweli dini ndio inavyosema?
 
Ni shida kweli na baridi hili,wife kasema hadi Ramadhan iishe ndio atarudi kunipa unyumba!ni kweli dini ndio inavyosema?

Suspension definition, the act of suspending. ... subject or clause, especially by means of a series of parallel preceding elements
 
Ikiwa ni mke wako wa halali bas imeharamishwa kuingiliana nae mchana2 mkiwa mumefunga ila baada ya kuftari unaweza ukashushia dose mpaka tym ya daku uchoke ww2


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Ikiwa ni mke wako wa halali bas imeharamishwa kuingiliana nae mchana2 mkiwa mumefunga ila baada ya kuftari unaweza ukashushia dose mpaka tym ya daku uchoke ww2


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums

Hapo ndio ninapoipenda ndoa aisee...


Sent from my iPhone using JamiiForums app
 
Hayo mambo ni ya kupanga pamoja (mutually) ili kila upande uridhike. Suala la kupangiwa tu na mkeo linaonesha namna jinsia KE inavyotumika vibaya kunyanyasa ME hasa kwenye masuala ya unyumba.

Nakushauri, keti chini na mkeo hasa wakati mmetulia. Napendekeza iwe usiku wa manane. Kabla ya kwenda kulala mtaarifu mkeo kwamba una jambo ungependa kujadiliana nae,hivyo usiku utamwamsha muongee.

Kisha mweleze namna unavyompenda na kuithamini ndoa yenu na hivo kutokua tyr kuona inatiwa doa la kukosa uaminifu kwa suala dogo tu la unyumba. Mweleze kwa upendo kwamba pamoja na mambo mengine,umemuoa kwajili ya kutimiziana haja zenu ikiwemo unyumba. Hivyo mtu pekee mwenye dhamana hiyo ni yeye tu.

Mweleze pia kama dini ni mhimu kwa maisha yenu wote, lkn mhimu zaidi ni ndoa yenu. Na tendo la ndoa ni mojawapo ya ibada takatifu. Hivyo mungu anaemwadubu hatosikia dua zake ikiwa hakutendei wewe haki.

Kwa hayo machache, naamini atakuelewa.!!!
 
Piga nyeto mbele yake, afu uwe unalalamika kimahaba.....
atauonea tu wivu huo mkono
 
Ni mkeo wa ndoa au mna share chumba tu?
 
Sio vibaya kuupumzisha mwili japo kwa mwezi tu, it's refreshing!!!
 
Back
Top Bottom