Nimepigwa lakini nimewaokoa

Nimepigwa lakini nimewaokoa

Hivyo vitoto vya form 2 - 4 ndio wanaoongoza kwa kupigwa mtungo, akili hawana+balehe+ kutaka starehe
 
Hivyo vitoto vya form 2 - 4 ndio wanaoongoza kwa kupigwa mtungo, akili hawana+balehe+ kutaka starehe
Daah kweli nimekumbuka ile kesi ya mwaka jana geita ...yule binti aliyewasindikiza wavulana wanne muda wa break ...wakampiga mtungo mpaka jioni ...wale wazee majirani ndio wakamuita mwenyekiti na mgambo kuna mwanafunzi wa kike kaingia humu na hawa wavulana hajatoka ... Walipoemda kukagua akajificha kwenye begi .... Hatari sana
 
Mkuu Mtoto wa nzi hongera sana kaka, Mungu akutie nguvu zaidi na akuondolee shida zako umefanya la maana sana. Kongole sana sana
 
Wafungie GPRS maana kuna siku watarudi tu kwa hao hao wanaume.
issue ni kuwa alikua aneo la tukio wangemtaja,

wakiliwa siku ingine na jamaa hayupo eneo la tukio haimuhusu tena jamaa.
 
mzee ulikuwa unatetea home usije ukaharibu wasingekuwa wanakujua ungewaachia msala mabinti wa watu nakupa kongole wewe ni mzazi mwema
 
Kikubwa msala ule nimeumiliki ... Kuna vitu kama ungaunga waalikuwa wanawawekea sasa sijui ni dawa za usingizi au madawa ya kulevya au nini sijui ...lakini walitepeta mnooo ...
Kama walitepeta walipandaje boda mkuu?
 
Mtoto wa nzi,

Umenikumbusha enzi ya ujana wangu tukiwa tunakunywa na videmu ...huwa vinapendaga kwenda toilet pamoja kwa hiyo wakinyanyuka nachukua chupa ya demu ya bia naikojolea.....hapo anakuwa alishaanza mawenge sasa akiongezea na mixture ya mkojo duh mziki wake huwa si wa kitoto....hii ilikuwa ni kwa vile videmu visumbufu na vyenye maringo.....baada ya muda utaona kanakulalia mabegani na kulegeza macho..habari kwisha
 
Lugha yako inanipa ukakasi, ikiwa umeoa mwalinu anayefundidha Kidato cha 2, napata ukakasi sana, unaabdika kama mvulana aliyemaliza kidato cha 4 vile.
Hapana babu .. Mi ni mtu wa tungi sana ..sana yaaani .. Lakini sipendagi uhuniuhuni .... Sikumjua wala kuwajua kabla niliemda tu kucheki game bar ya mwana ... Nkakuta meza yao ina gap nkakaaa ... Sasa ile fuata bia fuata bia maana kwenye banda la soka huku huduma ni hafifu ... Nkachukua mzinga ndio nkatulia sasa ..ndio nkaona huo ujinga nkamwaga zile energy ... Hapo majamaa wametoka tena ile wanarudi ndio nimeita boda ... Ooh unatorosha madem zetu huku na kule varangati .. Nkawaambia wanafunzi hawa acheni ujinga nampigia hapa oc cid ndio wakatulia hapo tushavurugana sana ..... Yes kimtindo nilikuwa najikinga na majanga yote ya mbele .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Atanilipa MUNGU ... .. Nimefanya sehemu ya wajibu wangu kama mzazi ...
Wote wanaokushambulia kuwa una roho mbaya na wengine wanadai kuwa mtoto wa form 2 anajua kila kitu. Wajaribu kufikiria kuwa huyo mtoto ni eidha mtoto wao au dada yao au ndugu wa namna yoyote ile. Wangeona kitendo hicho na hasa wakiwa tayari wamefanyiwa wangependa au kupongeza? Hebu vaeni viatu vya wazazi msikilizie uchungu wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom