BLUE BALAA
JF-Expert Member
- Nov 30, 2010
- 1,222
- 764
khaaa!!!! ama wewe,,,sas kwanini ukamchongea mwenzio???na wakati mwanzo nyote mlikuwa wasalitiji,,,jee yeye akaja kumwambia mkeo utafanyaje????then cha kushangaza ushatenda ndio waja chukua ushauri....ngoja nifikiri nikiupata wa hekima ntakuja kusaidia...
unataka kumsaidia nini?kumfariji au!!mh!hongera naona mungu kakujalia,mtoto mashallah!hivi unakaa wapi?naomba namba yako ya simu!!
mungu kajalia kila kiumbe ndio mana twapokezana mawazo hapa abuy shukran,,,inshalla tupate kuonana lakini mi niko mbali kidogo na africa niko imarate na no ya simu utahasarika kwa sababu credit inachukuliwa sana kwa ajili sim inatoka nje na hapo,,,,tanx,,,
mh!hapo mbona sio mbali!wasiwasi wako tu, mimi mambo yangu mazuri naweza kufika kama nikipata mwaliko wako,gharama za simu sio tatizo nitaweza kuzilipa tu!!
khaa tuku tuku kwani we wataka nini sasa mi bado niko kwa wazazi mwaliko huo ntakupeleka wapi ya rab!!!!hebu nambie ee???
haa mimi sina ubaya wala ugonvi na wewe,shida yangu ni kukusabahi tu!najua wewe ni binadamu mwenzangu haita kuwa vibaya kukusabahi!kama bado uko kwa wazazi basi njoo tanzania mimi nitalipa gharama zote!!
Jamani demu wangu (mke wa mtu) kanipigia kibuti nami ni mume wa mtu. Ila huyo dada yuko na mwanaume mwingine. Naona wivu sana sababu bado nampenda sana. Mimi nimeamua kumwambia mume wake kwamba mkewe yuko na jamaa. Mnasemaje jamani mwenzenu naumia.
i wish to be there inshallah!!!!nijetembea nione sifa za huko,,,,lakini ndio allah kanitunuku haya maradhi niopewa yameenistop kwa kila wishes zangu nasubir nipate xray ya mwisho ntakayo fanya augost mwakani kuchekiwa daw zimefanya kazi????nikipata hujambo nitapanga na wewe usinisahau tuu tuku tuku,,