Nimepigwa kiboya. Roho inaniuma!!

unatutia aibu wanamume wewe utakuwa kamwanaume ka dar bukuuuuuuuuuu???????
 
Kuna Mmoja Juzi mchana tulikubaliana Aje Tudinyane, Mda ulipofika hakutoke kumcheki hakupokea,

Imefika saa 2 usiku Anakanitumia Sms,

My uko Wapi,

nkamjibu Nipo kitaa,

akasema nataka kuja,

nkamuuliza unakja kulala?

Akasema ndiyo ila nina hamu na Kiepe,

nkasema Poa

Nkaacha nilichokua nafanya Nimuwai, si unajua kidume ukishaambiwa na totoz kua inakuja kulala, Nkanunua kiepe na mirinda nyeusi take away. Nkamwambia nimeshafika home, mda kidogo akaibuka, akala kiepe chake akamaliza

Akaanza kujigunisha, nkamuuliza vipi mbona unaguna guna, eti dada kanitumia sms hapa anadai niende mara moja, alafu ndo nirudi, nkasema acha utani, akasema kweli, kamwambia ebu niione akagoma, Nkamwambia hapa hutoki, Akaanza kupayuka sasa unanikataza hili iweje, nkamwambia sipigwi kiboya isitoshe umenipotezea mda, akasonya, nkamchapa makofi mawili akalala mbele akaacha na kisimu chake mpaka leo ajakifata
 
Si muache umalaya mnalalamika nini?
 
Hawa ndio wanaume waliobakia duniani hapa......

Buku mtu anaanzisha uzi dah[emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29][emoji29]
Rest in peace wanaume wote
sometime unaweza kuona wenzio maboya kumbe wew ndio boilila kabsa...
we kichwa kchako kilichogundua n kuw jamaa analalamikia buku...
pole[emoji23][emoji23]
 
Tulisha kubalianaga kwenye kile kikao chetu hakuna kumuunga demu na bando, ww kiherehere chako kimekuponza. Ila wanawake badilikeni sikuhizi wanaume hatuoi wapiga mizinga
 
unadharau buku.

uswazi unapata ugali. ni nauli ya kukupeleka mahali na kukurudisha.
Sawa ila siyo hela ya kumpata mwanamke hivi wanaume mnatuchukuliaje jamani? Yaani mtu anigegede kwa buku? Mimi hata mwanaume anihonge gari kama simpendi hanigegedi ng'oo sembuse buku
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…