James Hungury
JF-Expert Member
- Jun 8, 2013
- 825
- 612
Ata ao DHL watakua wameingiliwa na hackers na kuiba baadhi ya nembo na details za link ndio ao hackers wanaingiza watu king
Kwanini mnaandika vitu vya kusikia na msivyo na ujuzi navyo?..... Halafu jifunze kuandika!
nimegundua hao jamaa kumbe ni mataper,nilipofungua ile trackng number 2,nikaletewa ujumbe phising want to hack your information....
sasa hapo ni nin jaman?hebu 2we makin
Kwanini mnaandika vitu vya kusikia na msivyo na ujuzi navyo?..... Halafu jifunze kuandika!
Mimi nilidhani utaleta unachokijua kumbe umekurupuka na kushambulia watu tu wee jamaa umekuaje. Busara hazipo hivyo, busara ungeandika unachokijua na kuacha ujinga wako au unataka sema ni kweli hao wanaowatumia email watu ni DHL wenyewe?
Wewe umesema wame-hack DHL kitu ambacho sio kweli. Hao ni matapeli tu wamemtumia email
Kwan DHL hawawez kui hack? wameweza NASA iwej hyo DHL? yaweza kuwa wame hack DHL ni kuwa makini t na eml za namna hyo.
Mkuu inawezekana ni matapeli kweli. Mimi nlitumiwa jana ujumbe unasema mzigo umefika tarehe 10 sep. Wakanipa track no. Kuitrace mzigo umefika toka July. Ila kutrace wanataka uingize email na password yako nafikiri itakuwa na hackers tu wanataka kuiba password za watu. Ni heri DHL watoe tamko mapema
Kwanini mnaandika vitu vya kusikia na msivyo na ujuzi navyo?..... Halafu jifunze kuandika!
Ebu eleza vizuri ulitrace ukaona mzigo umefika july sasa unasema tena ukatrace watataka uingize email na password sasa ulikua unatrace wapi wakati uo ulishatrace ukakuta mzigo umefika july?
Ok Ahsante sana kwa suali lako. Jibu ni kama ifuatavyo
1. Mimi nlitumiwa e mail na so called DHL kwamba kuna mzigo wetu umefika na hawawezi kuuleta kwa sababu address ina matatizo. Email imeandika mzigo umefika tarehe 10 September 2015.
2. Wakanipa link ambayo ina trace no. Ili niangalie mzigo ulipo.
3. Nilipotaka kuitrace hiyo no. Ikaniambia siwezi kutrace mpaka niingize email na password yangu.
4. Nikaingiza email na password ili nitrace ile no. But majibu yakawa irrelevant kwani ilionyesha mzigo ashakabidhiwa mwenyewe toka July.
5. Nikampigia mteja wetu ambae mara kwa mara hutumia huduma za DHL, FEDEX na TNT kutuma BILL OF LADING zake (sisi ni customs Agent ) akanambia hana mzigo wowote.
CONCLUSION : Inaonekana hawa ni Hackers lengo lao kupata email na password za watu. Hivyo nashauri
a. tuwe na tahadhari ndugu zangu wananchi.
b. TCRA iwashughulike mara moja wahalifu hawa.
c. DHL wafuatilie na watoe tamko kulaani uhalifu huu. Kama hawahusiki wakanushe haraka kama ni wao pia watuambie