Nimepigiwa simu kwenye usahili TASAF

Nimepigiwa simu kwenye usahili TASAF

Neyjerry

Member
Joined
Jun 12, 2012
Posts
82
Reaction score
15
Wadau inawezekana uhakiki umekwisha au unakaribia kwisha, nimepigiwa simu kuitwa kwenye usahili Mfuko wa Rais wa kujitegemea (TASAF). Kuna mdau yeyote amepigiwa simu pia?
 
kuitwa kwa interview na kuajiriwa ni vitu viwili tofauti kabisa
 
Umesoma UDOM mkuu? Mbona swala lake lipo wazi kabisa, hajasema kama ishu kwake ni kuitwa interview ila kauliza kuhusiana na uhakiki. Siku nyingine soma na uelewe kabla haujakiaibisha chuo chako UDOM
Nashukuru kwa kunielewa
 
Wadau inawezekana uhakiki umekwisha au unakaribia kwisha, nimepigiwa simu kuitwa kwenye usahili Mfuko wa Rais wa kujitegemea (TASAF). Kuna mdau
yeyote amepigiwa simu pia?

Angalia sana kiwango chako cha lugha. Kama unasema usahili, yawezekana ukashindwa kwa kuongea lugha isiyo. Sijui kama unaweza lugha zingine za kimataifa.
 
Kiongoz smaahan lakin kwani tasaf walitoa kaz lin mana hao sionag onagi wakitoa ila kila la heri..
 
Wadau inawezekana uhakiki umekwisha au unakaribia kwisha, nimepigiwa simu kuitwa kwenye usahili Mfuko wa Rais wa kujitegemea (TASAF). Kuna mdau yeyote amepigiwa simu pia?
Umepigiwa usaili upo lini?
 
Back
Top Bottom