Nimepigana na rafiki yangu kisa msg, watu wamejaa

Mwaka huu ulipoanza kuna chalii yangu akanambia second year hatuwezi kukaa hostel, itakuwa alichelewa kulipa kwa uzembe hapo mimi sikujua kwani niko ghetto since day one. Akanambia anakuja kukaa siku tatu tu, ilikuwa Jumamosi manzi angu anakuja nikampokea huyu jamaa kisha nikaenda na manzi wangu lodge kwamba amechoka nataka kumbadilishia mazingira.

Uku nyuma nikategemea ataondoka Jtatu, narudi nakuta hana dalili ya kuondoka. Ashaharibu headphone zangu, room kaleta majamaa zake wawili wanacheza PS wakati sebule ipo na huwa sipendi nyomi. Yani room ambayo alishawahi ingia manzi wangu mmoja tu yeye naye ndani ya siku hizo mbili kaleta manzi wake na hawajafua mashuka.

Aisee yule jamaa alikuwa mchafu na ana utoto. Alikaa miezi mitatu akaondoka kishingo upande, sema nilikuwa nampangia sheria nyingi. Kama huogi hulali ndani, afu alikuja bila mashuka wala taulo yani anajifuta kwenye shati.

Nilikaa nae kwa vile tunashirikiana kutafuta hela, otherwise ningemkuta ile Jumatatu angeondoka muda huo. Jamaa sio mbishi, ila hawezi jiongoza. Ukimwambia bila kuoga hulali humu ndio anaoga, hela anazo ila hata kununua nguo hajui nikawa namnunulia code kwa hela zake basi mademu zake wakafurahi wakajua kawa mjanja kumbe bado. Kwenye akili za darasani ananizidi mbali.

Ni yule mtu alizoea kulelewa kila kitu kwao. Alilipia chumba akakaa zaidi ya mwezi hajaenda mpaka aliponipeleka kwake nikamwambia abaki. Huwa anakuja sana hapa, ila kwake kuchafu huwa siendi.

Kuna mwingine rafiki yangu ni wale watu wanalialia sana, nimemkopesha mara 3 hajawahi nilipa ukimpigia anatanguliza shida kabla ya kujibu salamu nami napotezea. Akienda kwa aunt yake ukimpigia atakupa aunt na watoto uongee nao. Huyu siwezi kubali alale anaweza leta sababu ili abaki.

Marafiki zangu ni tuliotoka A level, chuo sijabahatika. Ukisikia anasema navunga nakaa siku mbili ujue huyo hata mwaka usipojiongeza atakaa.
 
Duuuh huyu ni huyo jamaa angu kbs naye ana tabia hizihizi tofauti yeye ni msafi tu

Similar Discussions

Back
Top Bottom