ok.🐒Mkuu wa Tiss katoa agizo kwa Mkuu wa Uhamiji Prof Ngongo apatiwe Passport mara moja.
Hizi habari za kwenda office za uhamiaji kuomba Passport zimepitwa na wakati.
Sisi wakubwa tuna utaratibu wetu.
Najaribu kufikiria kama angekuwa mtu fulani angeitwa majina yote.
Ngongo kwasasa Tandamti.
Jambo la kushangaza ni kuwa "Prof. Ngongo" anazungumzia habari za "wakubwa na taratibu zao" kana kwamba Professa huyu huo u-profesa wake hautofautiani vyovyote na zile Ph.D wanazomgawia mkuu wa "taratibu" wao, Dr Samia Suluhu Hassan.Mkuu wa Tiss katoa agizo kwa Mkuu wa Uhamiji Prof Ngongo apatiwe Passport mara moja.
Hizi habari za kwenda office za uhamiaji kuomba Passport zimepitwa na wakati.
Sisi wakubwa tuna utaratibu wetu.
Najaribu kufikiria kama angekuwa mtu fulani angeitwa majina yote.
Ngongo kwasasa Tandamti.
Maajabu ndiyo hayo!Kuna mijitu mijinga itaanza kumwita Prof Ngongo pandikizi.
Boss wako alienda Kizimkazi kujipendekeza.Mkuu wa Tiss katoa agizo kwa Mkuu wa Uhamiji Prof Ngongo apatiwe Passport mara moja.
Hizi habari za kwenda office za uhamiaji kuomba Passport zimepitwa na wakati.
Sisi wakubwa tuna utaratibu wetu.
Najaribu kufikiria kama angekuwa mtu fulani angeitwa majina yote.
Ngongo kwasasa Tandamti.
Unaona sasa... Yaani kabla hatujajitokeza tayari ushatujua....Kuna mijitu mijinga itaanza kumwita Prof Ngongo pandikizi.
Tatizo bado haujaliona !.Unaitwa nani? Ngongo
Unaiamini idara ya usalama? IDARA inakandamiza upinzani.
Kwani passport yako nani alikupa? Mkuu wa idara
Sasa mbona unasema inakandamiza? Ngongo malizia kujibu.
Tatizo tunalijua na tumekaa kimya tu..Tatizo bado haujaliona !.
Nikipanda majukwaani naibagaza Sirikali kumbe nyuma ya pazi tunawasiliana,tunacheka na tunapena haueni za kutosha.