Same_Return_1878
Member
- Nov 14, 2019
- 14
- 29
Wakuu kwema,
Kama kichwa kinavyosema, jana nimekutwa na jambo la ajabu na kusikitisha sana. Mimi sina matatizo ya nguvu za kiume, ila siku ya jana kuna binti mmoja aliyekuwa akinizungusha sana tokea mwezi wa 6 mwaka huu, aliamua kuja kwangu na kunibless.
Alifika juzi usiku wa tarehe 18 akiwa ametokea kazini, alikuwa amechoka sana hivyo hatukufanya kitu akalala mpaka asubuhi. Sikuwa na haraka kwa kuwa nilijua siku ya kesho yake, yaani jana tarehe 19, ilikuwa ni siku yake ya off kazini hivyo angeshinda kwangu pia siku nzima na tungemaliza jambo letu.
Basi jana mnamo majira ya mchana tukaanza kufanya kilichomleta, tukafanya romance nikamchezea kama zaidi ya dakika 40 hivi nikiwa nimesimamisha vizuri kabisa. Ilipofika muda wa kufanya tendo lenyewe bwana athumani kichwa kipara ndipo aliponisaliti.
Ilisinyaa ghafla na kulala bila kuamka mpaka sasa muda huu ninavyoandika huu uzi, hata sielewi nimekutwa na nini, na mrembo ameshaondoka tangu leo alfajiri kwenda kazini kwake na jioni atarudia kwake.
Tokea leo asubuhi baada ya binti kuondoka imekuwa ikiamka kwa kuotea otea sana, yaani dakika 2 haziishi inalala tena. Wakuu mmeshakutwa hili jambo? Sijawahi kuwa na matatizo ya nguvu kabisa na huyu si mwanamke wa kwanza pia nakuwa nae.