Nimependwa na mpenzi wa mtu naomba ushauri

Nimependwa na mpenzi wa mtu naomba ushauri

shopping

Member
Joined
May 29, 2012
Posts
20
Reaction score
10
Jamani wanajf nina rafiki yangu anaesoma katika college flan, kanipigia cm siku moja iliyopita anadai kuwa kwa sasa yeye ni binti anayeelekea mwaka wa pili pale chuoni na toka awe hapo ni almost wasichana wote walipata wapenzi isipokua yeye na hata walifikia hatua ya kumbeza na kumcheka kwa kumuona kama vile hayuko kamili. Si hivyo tu bali anahitaji sana mtu wa kuwa karibu nae(mpenzi) na anapenda sana mtu wa kumliwaza sexually,lakini kadri anavyozidi kupanda kimasomo ndio rate ya kufatwa na wanaume inapungua.sasa hivi kuna mkaka mmoja ambae tayari ana mpenzi wake pale chuoni amemtongoza na anadai anamueleza maneno matamu ambayo sio siri yanamteka.Japo anajua ni mpenzi wa classmate wake lakini pia yeye amevutiwa nae na ukiongezea hali yake ya ukata wa kimapenzi ndo basi kabisa haoni jibu la NO.sasa anauliza afanyaje? na je labda itakuwa ni risk? lakini bado anasisitiza kwa hali yake hiyo pia akimkataa si ataendelea kupata tabu? ushauri jamani!
 
User ID yako tu inaonesha ni wewe na si mtu mwingine kama uunavyojaribu kumpandikiza
mbaya zaidi ID inaonesha wewe ni pendapenda.
 
Title inaonyesha kuwa ni wewe, anyway hapo kifuatacho ITV ni bifu kati yake (yako) na girlfriend wa huyo jamaa. Bora kujituliza atapatikana aliye wako (wake)
 
JF stories!!! Haziishagi asee!!!! Tushauri nini hapo??
 
lakini kadri anavyozidi kupanda kimasomo ndio rate ya kufatwa na wanaume inapungua
kama hajafikisha 30yrs anapata presha ya nini,anasomea nini,reception inalipa.......kuwa na mwanaume chuoni sio fashion,mwambie kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi asijekuuvaa mkenge kisa wenzie wana wapenzi.
 
hahahaaaaaa duh...
sasa kama haon jibu la NO anataka ushauri gani wakati inaonekana ashafanya maamuz
halafu nyie watoto wa vyuon achen kufata mkumbo mxiuuuuuuuu........
 
anasoma engineering sema anadai ye ana sexy drive kubwa hivyo kukaa single anapata shida sana

kwani lazima apate hapohapo chuoni si atafute kwinginea au anataka wa kufanya nae mauzo 24/7
 
Huyo ameishanuia ngoja aende yamkute.

atakimbia discussion na kuhama njia ooooooh haya mambo ya kuingilia himaya za watu wakati wameshajenga mahandaki lazima ujiwekee guarantee
 
huyo msichana ana gundu...

Watu tuna elimu zetu na age zetu bado wanaume tena wa maana wanaendelea kurusha nyavu...

Mwambie akaoge maji ya bahari .... Mengine achote achemshe anywe

anyway huyo mwanaume kampenda au kamtamani?

Na analiweza bifu la chuo?
 
Mwambie acje akaleta bfu chuo akakiona kchungu, a2lie 2 asome, wake anakuja
 
yeye sii anataka gegedwa ampe tuu jamaa papuchi apunguze ukata.
 
Wala hana gundu. Attitude tu inamsumbua na kufukuza wanaume. Digirii yenyewe hajaikamata mkononi afu 'kadri anavyozidi kupanda ndivyo chances za kupendwa zinapungua'. Angekuwa na phd sasa angesemaje? Ama walau ka-cpa na ka masters?

Ngoja maisha yatamshughulikia. Amalize kadigirii kake asote ujobless miaka 2 afu apate kazi kwa mhindi na kulipwa mshahara laki 3 kwa mwezi.
huyo msichana ana gundu...

Watu tuna elimu zetu na age zetu bado wanaume tena wa maana wanaendelea kurusha nyavu...

Mwambie akaoge maji ya bahari .... Mengine achote achemshe anywe

anyway huyo mwanaume kampenda au kamtamani?

Na analiweza bifu la chuo?
 
He he he he, Paw ananipenda, nifanyeje?

Kuna risk nikimkubali?

Ujue nna phd rate ya wanamme imepungua sana.

Wala hana gundu. Attitude tu inamsumbua na kufukuza wanaume. Digirii yenyewe hajaikamata mkononi afu 'kadri anavyozidi kupanda ndivyo chances za kupendwa zinapungua'. Angekuwa na phd sasa angesemaje? Ama walau ka-cpa na ka masters?

Ngoja maisha yatamshughulikia. Amalize kadigirii kake asote ujobless miaka 2 afu apate kazi kwa mhindi na kulipwa mshahara laki 3 kwa mwezi.
 
unamkubali mtu kwa sababu sex drive iko juu,au unamkubali mtu kwa sababu unampenda! enyi mabinti wa siku hizi mbona hivyo jamani.
 
Back
Top Bottom