Nimependwa na mpenzi wa mtu naomba ushauri

Jamani wanajf nina rafiki yangu anaesoma katika college flan, kanipigia cm siku moja iliyopita anadai kuwa kwa sasa yeye ni binti anayeelekea mwaka wa pili pale chuoni na toka awe hapo ni almost wasichana wote walipata wapenzi isipokua yeye na hata walifikia hatua ya kumbeza na kumcheka kwa kumuona kama vile hayuko kamili. Si hivyo tu bali anahitaji sana mtu wa kuwa karibu nae(mpenzi) na anapenda sana mtu wa kumliwaza sexually,lakini kadri anavyozidi kupanda kimasomo ndio rate ya kufatwa na wanaume inapungua.sasa hivi kuna mkaka mmoja ambae tayari ana mpenzi wake pale chuoni amemtongoza na anadai anamueleza maneno matamu ambayo sio siri yanamteka.Japo anajua ni mpenzi wa classmate wake lakini pia yeye amevutiwa nae na ukiongezea hali yake ya ukata wa kimapenzi ndo basi kabisa haoni jibu la NO.sasa anauliza afanyaje? na je labda itakuwa ni risk? lakini bado anasisitiza kwa hali yake hiyo pia akimkataa si ataendelea kupata tabu? ushauri jamani!

Njoo kwangu nitakupa dawa nawapenda watu kama nyie!!
 
Enyi kizazi cha Digital, hivi mmeona hakuna maisha huko vyouni mpaka muwe nawapenzi? Amini amini nawaambieni, mwanafunzi aliyebora ni yule anapigania kupata GPA nzuri itayo mfaa hapo mbeleni. Na wewe mleta uzi, unaonasifa kumegwa wakati tangu aunze chuo hajawahi pata hata A na unavimeo chungu mzima! Jalini muda wenu maana starehe wala hazina chelewa.
 
kama hajafikisha 30yrs anapata presha ya nini,anasomea nini,reception inalipa.......kuwa na mwanaume chuoni sio fashion,mwambie kuvuja kwa pakacha nafuu ya mchukuzi asijekuuvaa mkenge kisa wenzie wana wapenzi.

umeona eee? yaani kuna watu hata hawaogopi maradhi,kha! we uchukue mpenzi wa mwenzio kwa nini? wewe tulia tu,mbona utampata tu wakwako,tena kwa wakati muafaka.
 
Ni mpenzi wa mwingine (inaonyesha unamfaham mpezi wake)...acha ufisadi mkuu, sio jambo jema...jaribu uone....malipo ni hapa duniani, nawe watakupakatia wa kwako...kwani wameisha bwana au wa wenzio watam?...
 
Unamuogopea nn huyo kabidhi na sisi wenzio tunatafuta na sisi hatujapata, piga pasi yeney macho uone tutakavyoipokea
 
Jamani wanajf nina rafiki yangu anaesoma katika college flan, kanipigia cm siku moja iliyopita anadai kuwa kwa sasa yeye ni binti anayeelekea mwaka wa pili pale chuoni na toka awe hapo ni almost wasichana wote walipata wapenzi isipokua yeye na hata walifikia hatua ya kumbeza na kumcheka kwa kumuona kama vile hayuko kamili. Si hivyo tu bali anahitaji sana mtu wa kuwa karibu nae(mpenzi) na anapenda sana mtu wa kumliwaza sexually,lakini kadri anavyozidi kupanda kimasomo ndio rate ya kufatwa na wanaume inapungua.sasa hivi kuna mkaka mmoja ambae tayari ana mpenzi wake pale chuoni amemtongoza na anadai anamueleza maneno matamu ambayo sio siri yanamteka.Japo anajua ni mpenzi wa classmate wake lakini pia yeye amevutiwa nae na ukiongezea hali yake ya ukata wa kimapenzi ndo basi kabisa haoni jibu la NO.sasa anauliza afanyaje? na je labda itakuwa ni risk? lakini bado anasisitiza kwa hali yake hiyo pia akimkataa si ataendelea kupata tabu? ushauri jamani!

Kwa umri wako unatakiwa upokee mchumba tu na si wagegedaji(vibaka wa mapenzi) hiyo K yako ni kwa ajili ya mumeo tu.Mbona umevumilia sana halafu unataka kuharibu mwishoni.Najua wewe ndiyo mhusika unataka tuku support ukafanye zinaa halafu upate HIV, unataka tuku support ukagawe K ya mmeo mtarajiwa, unataka tuku support ukaondoa bikra yako kitu ambacho ni agano ulilopewa na Mwenyezi Mungu kwa mmeo.Acha ujinga tulizana Muda ukifika utaondoa ukame wote ulio nao, hao marafiki wanaokucheka sasa ndio wale wanapigwa mimba na kukimbiwa,ndio wale wanaotendwa baada ya kumaliza chuo, ndio wale wanaoolewa huku K zao zimeishachioka.Don't play with fire!
 
Back
Top Bottom