G
guest-1790917349
Guest
me hata cjamuelewa
same to mi
me hata cjamuelewa
Yaani hata awe nani ata be conviced kuwa elimu imashuka sana Tanzania,ukijumlisha na VIROBA..... wanavyokunywa ndo kabisaTunacheka...lakini hili ni balaa kubwa kwa Taifa. Hivi kweli mtu mpaka unaweza kulog-in JF unashindwa kuandika ka'hadithi ka paragraph moja tu kanakoeleweka!? Halafu huyu few years to come ndio aje aandike thesis au scientific paper, business plan, proposal, article kwenye news paper, au publication tu yoyote...