Nimependwa lakini yamenikuta. Daaaa!!!!

Nimependwa lakini yamenikuta. Daaaa!!!!

umemaliza mtihani wa form two, majuma mawili yaliyopita, sasa unakuja kupost mambo yako haya..HUU MUDA KAA UOMBE DUA MAANA UKIFELI UNARUDIA KIDATO THEN NYUMBANI UKAMSAIDIE MAMA KUKATA VITUNGUU
 
Hahahahaha jamani msishangae kumkuta mtoa mada ni msomi mwenye degree 2. Siku hizi majangaaa elimu imeshuka mno na kila kukicha inashuka .Tafakari ............
 
dogo chukua koni na ashikilimu ukacheze nje hapa kuna wakubwa wanaongea mstakabali wa taifa
 
Nilipta mapema sana kwenye huu uzi nikafikir sijui kusoma!
.......kumbe aaah jaman!
 
Ama kweli Tanzania tubaki tu nje ya EAC maana, namna hii sijui tutashindana na nani. This is terrible
 
atakusweka jela bure huyo mzee wake,kimbia fasta.
Nalog off
 
kazi zipo nyingi wajamen inawezekana ni mfyatua tofali au kazi nyingine yoyote ambayo haihitaji elimu kubwa ya darasani.
 
Back
Top Bottom