kenny mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 17, 2021
- 322
- 902
Wakuu poleni na miangaiko ya hapa na pale nimependa niwape mkasa ulionipata Jana.
Npo mtaa x sasa Jana jioni kuna sehemu nilikuwa naenda sasa njiani nikakutana na demu mmoja mkali kinoma ana shape kama lote kwa ujasiri nilionao ikabidi nimsimamishe nikaanza kuongea nae uwa natumia swaga ya kuwaambia mademu kuwa kama nakufahamu au nimekufananisha then demu akirespond ameingia cha kike.
Kweli demu akawa ana-respond akisema unanifananisha na nani basi nilifanikiwa kuchukua namba then jioni nikawasiliana nae sasa Leo asubuhi nikamuomba appointment demu akawa anakaata nikafosi hadi akakubali basi tulipanga tuingie swimming sehemu flani Mbezi,
Nipo na demu kila ninachomnunulia anakataa yaani demu hataki nitumie hata mia kwaajili yake.
Basi tumeenda swimming tumeoga then tumerudi. My point kukatisha stori ni kwamba demu hapendi hela na ananijali sana nisitumie hela kwaajili yake nilinunulia chakula kwa kulazimisha hadi akakubali pia nimemtongoza demu kakubali japo aliniuliza maswali magumu magumu na future yangu kwake nikashinda mtiani so my swali hivi kumbe kuna wanawake ambao hawapendi hela siku hizi?
Kwenye kupiga stori ameniambia babaake ni MTU mkubwa sana serikalini lolooo!
Wakuu demu mpole kinoma halafu pisi Kali aiseee huu asipobadilika namuoa j3 ijayo