Nimependa tena!

Nimependa tena!

Tatzo sio kwamba hujui wapi uanzie.

Tatzo umempenda hadi umejenga hofu ndani yako. Just be You, confidence muhimu bro.
 
Hata kutongoza bado unasema umependa? Kupenda ni kuwa deep in love for each other hiyo yako umetaman


Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapana sijatamani, uzuri wa mwanamke huonekana tu pindi unapomtia machoni.
Mim naweza kupenda sana, sitajali yeye kunipa nafasi au kutokunipa, lakin nampenda.

Akinikubali tutashare penz akikataa basi, nitapotezea tu, lakin haitamaanisha nitaacha kumuona mzuri kwenye macho yangu.
 
Hakufai huyo mkuu, anavutia wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
Hamna hata, unafikir nimemtaman?

Nakupa mfano, mim huwa nasema Maua Sama mzuri lakin majamaa humu wanapinga kinoma.

Kwahiyo hata kwa huyu dada nakua mim ni special kwake labda ashindwe tu kutambua hilo.
 
Weka namba yake hapa jukwaani tukusaidie kumtongoza
 
Back
Top Bottom