Nimependa tena!

Nimependa tena!

Wakuu nilikuja hapa na uzi siku chache zimepita nikijifaliji kua ninalo tumaini kuwa nitapata kipenda roho.. baada ya kuwa single kwa kipindi..kidogo.
Nilikua nataman sana kupata wa kupendana na yeye, nimpende sana na anipe nafasi..

Kuna mahusiano ya kihuni niliingia ya tamaa tu, msichana ni mzuri lakin brain yangu na yake hazishahabiani vizur, so ata yeye alikua anajua baada ya muda mchache kila mtu anaendelea na mishe zake.

For sure kama ni mwanamke tu najua siwezi kukosa wapo tu, lakin shida ilikua atayenivutia zaidi yani awe very personal kwangu, kiukweli mapenz ya ajabu nilikua natafuta mwenye tabia fulani ninayo itaka..
Currently
Lakini huyu niliyekutana nae sijali tena cha tabia kwa sababu kwa mazuri niliyoyaona hayo mengine hayawezi kuwa tatizo wala nin yani nisha mpenda mazima.

nimevutiwa nae mbaya mbovu, yani nimempenda sanaaa

Kwanza katoto kametulama, age yake i think tunalingana au ananizidi mwaka mmoja na umbo analo la kawaida kiasi mim kwake naonekana bebi boy.
Kilichoniuwa kwake ni pozi yani navutiwa na pozi lake aisee.. anavyoongea akicheka, akinuna ni utamu utamu tu.

Natamani kushare nae vitu vingi, shida iliyopo hanijui tabia sasa natengeneza vip trust btn mim na yeye? Na hana sana uwezo wa kujudge mtu tabia kama mim nilivyo..

Pia Huyu dada anafanya kazi na tunafanana professional, siku tunaonana alikuja ninapofanyia kazi nikampa huduma na nilibahatika akanipa namba yake.

Kaja ninapofanyia kazi mala 4 kwa huduma na kuondoka. Nina namba yake naweza kuwasiliana nae lakini tatizo kubwa linalonisibu ni kuwa nitafanyaje ili mrembo huyu azame kwenye penzi langu.

Na dada huyu anaonekana maisha safi hakuna anachokosa kwamba nimnunulie.

Sasa nafanyaje wakuu nisaidieni kila technical nimekwama namuingizaje box dada huyu, maana nikiingia vibaya najua atajitia ubize wa kazi na kunikwepa.

MSAADA WAKUU. nimeishiwa mbinu.
Nitumie namba yake nikutongozee
 
kumbe mbwembwe zote hata sera bado haujauza....anza kumset kwanza ndo utoe exclusive kama hii...
Me nimependa jamani, kutongoza bado ndo natafuta mbinu.
At least nipewe mfano wa manzi kama huyu huingizwa vip box.
 
Maisha mafupi
Kama unampenda mwambie nakupenda
Akionesha kuhitaji mtu basi muoneshe vile unampenda
Akikataa basi muache sababu soon utalia Tena
Ni hayo tu

kelphin kepph
 
Wakuu nilikuja hapa na uzi siku chache zimepita nikijifaliji kua ninalo tumaini kuwa nitapata kipenda roho.. baada ya kuwa single kwa kipindi..kidogo.
Nilikua nataman sana kupata wa kupendana na yeye, nimpende sana na anipe nafasi..

Kuna mahusiano ya kihuni niliingia ya tamaa tu, msichana ni mzuri lakin brain yangu na yake hazishahabiani vizur, so ata yeye alikua anajua baada ya muda mchache kila mtu anaendelea na mishe zake.

For sure kama ni mwanamke tu najua siwezi kukosa wapo tu, lakin shida ilikua atayenivutia zaidi yani awe very personal kwangu, kiukweli mapenz ya ajabu nilikua natafuta mwenye tabia fulani ninayo itaka..
Currently
Lakini huyu niliyekutana nae sijali tena cha tabia kwa sababu kwa mazuri niliyoyaona hayo mengine hayawezi kuwa tatizo wala nin yani nisha mpenda mazima.

nimevutiwa nae mbaya mbovu, yani nimempenda sanaaa

Kwanza katoto kametulama, age yake i think tunalingana au ananizidi mwaka mmoja na umbo analo la kawaida kiasi mim kwake naonekana bebi boy.
Kilichoniuwa kwake ni pozi yani navutiwa na pozi lake aisee.. anavyoongea akicheka, akinuna ni utamu utamu tu.

Natamani kushare nae vitu vingi, shida iliyopo hanijui tabia sasa natengeneza vip trust btn mim na yeye? Na hana sana uwezo wa kujudge mtu tabia kama mim nilivyo..

Pia Huyu dada anafanya kazi na tunafanana professional, siku tunaonana alikuja ninapofanyia kazi nikampa huduma na nilibahatika akanipa namba yake.

Kaja ninapofanyia kazi mala 4 kwa huduma na kuondoka. Nina namba yake naweza kuwasiliana nae lakini tatizo kubwa linalonisibu ni kuwa nitafanyaje ili mrembo huyu azame kwenye penzi langu.

Na dada huyu anaonekana maisha safi hakuna anachokosa kwamba nimnunulie.

Sasa nafanyaje wakuu nisaidieni kila technical nimekwama namuingizaje box dada huyu, maana nikiingia vibaya najua atajitia ubize wa kazi na kunikwepa.

MSAADA WAKUU. nimeishiwa mbinu.
Mpe suspension notice hadi pale akili zako zitakapokuwa zimekomaa kuweza kujua nini unahitaji maishani.
 
Kutongoza ni Sanaa kubwa kama zilivyo Sanaa zingine. Mbinu utakayoitumia kwa huyu ni tofauti na utayoitumia kwa mwingine.

Ukilijua hilo hutasumbuka na utakuwa shujaa kwa kila mwanamke utayemhitaji. Na ujue kuna kupata na kukosa na kukosa kizembe.

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani nisha waza sanaaaaa.. na tatizo kubwa linalonipa wasi wasi ni.. mala nyingi wasichana huwa wanapoteza trust kabisa na wanaume baada ya break up fulani. Na kuamua kuishi kivyao kutuliza moyo kidogo, na ndo hicho kipindi na mim naona ndio nataka kujichomeka,,sasa nitamuaminisha vip kuwa mim sio kama wale.
 
kusema kweli nimeipenda sana miguu yako...kwenye avatar

Pamoja na kusifia miguu ya bado umenikazia hata asante basi...

Na mimi nakiri am in love...na miguu ya Cc mahondaw
 
Back
Top Bottom