Nimependa siasa za Lowassa

Nimependa siasa za Lowassa

Anajua kiu ya watanzania ni kusikia sera safi zitakazoleta mabadiliko kiuchumi, elimu, afya,
 
Namkubari lowassa anayofanya ndiyo raha ya siasa. Siasa cyo kupanda jukwaan na kuropoka ropoka tu juu ya upinzan
Magufuli amepanic badala ya kuongea mambo yake, anaanza kuongea uongo kuwa ukawa haina ilani! Nae kaingia kwenye mkumbo wa mipasho
 
naona wanasisiemi wakijitaidi kumshutumu raisi wangu anaengoja kuapishwa kila kukicha na sababu zao za ovyo. sasa nasema nyie sisiemu katafuteni wa kuwabadiri akili matahaila mnaowapa flana za kijani,ubwabwa na buku tano per day na sio watu wanaojielewa na wenye uchungu na tanzania yao..
 
unawafahamu wale wanyama wanaozaliana kwa wingi kule serengeti?? basi wao hufanya maamuzi kama haya; hata wakiona mwenzao kaliwa na mamba hua wanapita hapo hapo na wao kuliwa na mamba.
 
Siku wakimsoma lowasa na kumuelewa wataandika historia
 
CCM na serikali yake chovu vimesahau kwamba vyombo vingi vya kimataifa vinaangalia upuuzi wote unaoendelea Star tv,Tbc na magazeti yake na waangalizi wanashangaa kwa nn TBC si ya UMMA ila ni ya CCM na inaonyesha upendeleo wa wazi kwa CCM,Uzushi unaofanywa na vyombo hivi unaonekana wazi kabisa TUME YA UCHAGUZI IKO KIMYA yote hayo uangalizi wa kimataifa unaona na Wamejua kabisa kuwa CCM maji yako Shingoni na kinachoendelea ni kutapatapa tu bado dakika chache chama kinazama jumla.
 
unawafahamu wale wanyama wanaozaliana kwa wingi kule serengeti?? basi wao hufanya maamuzi kama haya; hata wakiona mwenzao kaliwa na mamba hua wanapita hapo hapo na wao kuliwa na mamba.

Lakini mwisho wake wanafika wanako kwenda .usisahau hiloo .ni muhimu sana .kwa historia ya nyumbu hao pamoja na wapumbavu na malofa na vizuri umesema wanapita inamaana awaliwi wote.
 
Back
Top Bottom