Watanzania bwana hizo sera anazozisema kwa dakika kumi ni zipi?ulishaona wapi katika chaguzi barani africa tu mgombea ananadi sera dakika kumi?na hata kwa nchi zilizoendelea ulishawahi ona mgombea anaongea dakika kumi kunadi sera?tuache ushabiki hata kama unahitaji mabadiliko angalia hayo mabadiliko yanapatikanaje sio alimradi mabadiliko.
Kumbukumbu zinaonyesha;
Ilani ya chadema kupitia ukawa ina kurasa 30 ikiwa na vipaumbele si zaidi ya 16
- mwaka 1995 ilani ya ccm ilikuwa na kurasa 300
- mwaka2000 kurasa 350
- mwaka 2005 kurasa 380
- mwaka 2010 kurasa 430 na
- Mwaka huu ilani ya ccm ina kurasa 450
Lowassaa na Mabadiliko
Mtaongea sana wakuu, ila ukweli ni kuwa busara za huyu jamaa zinawafanya hata CCM wanabaki kutojua pa kushika, mtukaneni, msimangeni na mseme yote yaliyojaa mioyoni mwenu, ila ukweli jamaa anatufundisha siasa, hajibu matusi....yeye anataka kuhakikisha mkulima hakopwi na akikopwa alipwe na riba, muiteni mgonjwa, yeye hajibu......maneno yake anataka vijana wasome bure.....dakika kumi zinatosha kumuelewa.......kwa support anayopata kila anapopita, inabidi mjiulize pamoja na yote hayo lkn wananchi wanaye tu, kunani?Hivi ninyi nani aliyewaroga. Hamjui kuwa huyo mzee kachoka sana na hana uwezo wa kuongoza. Kachoka mwili hadi fahamu ndo mana anarudiarudia sera za ccm
Ilan ya ukawa nimeipenda sana ni nzuri na haichoshi kusoma si kama za wenzetu wamezoea ngonjera nani atasoma pgs 450 sana sana ukinipa hilo likitabu nitawashio moto jiko la mkaa.
Lowassa yuko vizuri.
Tunangojea tusomeshe wajukuu zetu elimu ya bure
Watanzania bwana hizo sera anazozisema kwa dakika kumi ni zipi?ulishaona wapi katika chaguzi barani africa tu mgombea ananadi sera dakika kumi?na hata kwa nchi zilizoendelea ulishawahi ona mgombea anaongea dakika kumi kunadi sera?tuache ushabiki hata kama unahitaji mabadiliko angalia hayo mabadiliko yanapatikanaje sio alimradi mabadiliko.
Kwahio kutishia watu nchi kua kama Libya, ndo sera? Wapo watangulizi wanaonadi sera na yeye anamalizia. Watakanabwabwaje vitu gani? Watanzania tulio wengi we just need a change. Tuone mawaziri wapya wenye fikra chanya. Sio watu utafikiri waliajiliwa kuwa mawaziri miaka nenda rudi. Lowassa tosha!
Mahaba ya namna hii ni ugonjwa
Watu wanasema ukweli halafu ninyi eti mnasema vijembe.
Huyu Lowassa ni fisadi na mgonjwa sana.
Unataka ajibu nini wakati anaambiwa ukweli.
Wewe bisha ila huo ndio ukweli, wapi lowasa kamtukana mtu pamoja na matusi yote anayorushiwa, Magufuli binafsi nilimuona wa maana ila naye kaingia kulekule, sera zimeisha au.........