Kumwita gadafi dikteta ni upungufu wa kutojua nini unachosema, usifuate mkumbo wa wajinga wa magharibi ndugu yangu, mm nilisoma libya na nilitamani sana alau mwaka mmoja tumchukue gadafi aje kuiongoza tz, yaani jamaa wana maisha mazuri na wanaishi kwa raha sana, mambo ya maendeleo waliyoyapata walibya kwa kupitia huyo unaemwita dikteta hakuna kiongozi yyte wa afrika na dunia nzima anaeweza kuwafanyia maendeleo wananchi wake alivyowafanyia gadafi wananchi wa libya, hamjui tu mataifa ya magharibi walitaka nini kwa walibya, ndugu yangu nenda kaone mwenyewe uhalisia wa maisha ya walibya, na wacha kufuata mkumbo kwa jambo usilolijua ndugu yangu, mambo waliyofanyiwa walibya hakuna kiongozi yyt anaeweza kuwafanyia wananchi wake ktk nchi yyt duniani, sitaki tu kukutajia nini kawafanyia gadafi walibya lkn soma alama za nyakati ndugu yangu